Alikuwa wapi siku zote?

mbona kma bestie yangu ww
 
Mbona huyo future hubby wako ulimpa tunda kabla ya kukuoa vitoto vingine vya tz kazi kweli kweli na mimi naomba basi
 
Na hakika jamaa atapiga
Unajua uzuri wanaume tunajuana vizuri sana.
Kitendo cha yeye kuwa na mawasiliano na wewe tayari ni red flag
Wanaume huwa tuna mipango ya miaka kumi mbele yaani kuna chupi tulipanga kuzivua toka darasa la nne na hatujakata tamaa tumezivua zikiwa znaenda kuolewa
Achana kabisa na wanaume
Na huyo unayemwita hubby usimwamini kabisa sisi ni watu hatari sana
Dunia imetu shape tuwe hatari kutokana na tunavyokua mistreated na wanawake
Ana acces ya jamaa ako ana acces ya kuku contact na upo comfortable
Futa namba block

La sivyo wanaume watakufurahisha sio huyo ex na sio huyo mwanaume wako.
Sikukatishi tamaa ila ogopa sana ila ogopa sana kiumbe chenye hb 13- 18 na kina corporsa spongasium hatunaga detumences
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…