Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Uvumilivu ulinishinda...mahidia
Swali zuri sana hili. Halafu huyu wa pili ni bwege, ndiyo maana anatumiwa hata alama za hatari lkn hasituki. Anadanganywa na bikra za kutengeneza kwa kumwagia ndimu na mkojo wa tembo.Mbona huyu wa sasa hukumnyima
Kutuletea chai unapenda , ila kuoga aaaaah.Ama kweli ibilisi wa mtu ni mtu!
Huyu mwamba anataka kuniharibia ila amechelewa kipindi Niko field hospital x yeye alikuwa intern hospital hiyo hiyo, nilitokea kumpenda sana hii ni baada ya yeye kuonesha dalili za kunipenda., Kutokana na kuwa mpweke takribani miaka 24 ikabidi nijisogeze karibu naye Ili twende sambamba!
Naam,.tulifanikiwa! tukawa tupo close nikawa naenda kwake sometimes, na outing za hapa na pale.
Nilimuweka Wazi juu ya Hali yangu yakuwa mpweke takribani miaka 24 hivyo Nikamsihi kuwa natamani haya yawe ni mahusiano yangu ya Kwanza na ya mwisho, imeant nilitaka anioea kabla ya kula tunda kapasino.
Naam, alikubali na akaniahidi atafanya hivyo ndani ya mwaka huo
Licha ya kuwa close nae ila hakuwahi kunambia nimuonjeshe mapishi yangu jambo amabalo nililipenda saana kutoka kwake.
Wakati nakaribia UE ya mwisho alipata kazi Zanzibar hospital x hivyo akawa na mbali Mimi Hali iliyopelekea mahusiano yetu kufifia Kwan alikuwa anadai mara kwa mara niende Zanzibar kumtembealea NAMI nilikaza shingo kwani nilihofia chakula changu kinaweza kuliwa kabla ya wakati.
Alivokuwa anarudi Bara alikuwa hanambii isipokuwa nilikuwa napata habari zake kupitia kwa marafiki zake na status zake.
Baada ya siku kadhaa akanambia tuachane maana siko tayari kumpa ushirikiano, na akadai ana mchumba wake hivyo nisimtafute niliumia sana kiukweli., na kilichonifanya niumie zaidi ni kwamba nilikuwa nimeshamtambulisha Hadi nyumbani ,itoshe kusema alinitia aibu!
Toka juzi ananisumbua anataka turudiane baada ya kusikia naolewa, yote Tisa kumi, alivyo mshenzi kamtumia text My future hubby kuwa et hajamalizana na Mimi akaambatanisha na picha tukiwa wote kama udhibitisho, picha zenyewe nilikuwa 3rd year hukoo. Ila nashukuru mume wangu mtarajiwa hata hajastuka Kwan yeye ndo aliyepiga teke akavunja mlango baada ya kitasa kugoma kufunguka
UNIKOME, NAJUA UPO HUMU UNASOMA HUU UZI ,NARUDIA TENA, UNIKOME.
Mpaka ifike hiyo trh 13 ntaona mengi!
Yeah my dearKumbe!
Yani hii siku unaisubiri kwa hamu sipati, mbususu itawaka moto siku hiyoAma kweli ibilisi wa mtu ni mtu!

Umupe na yule maana ulimkatili sanaUvumilivu ulinishinda...mahidia
Pole Kwa usumbufu na hongera Kwa kuwa Bibi harusi mtarajiwa. Kuhusu swala la picha mtu akituma picha za zamani unaangalia tarehe iliyopigwa Kwa hiyo mtumaji anabaki na aibu yakeAma kweli ibilisi wa mtu ni mtu!
Huyu mwamba anataka kuniharibia ila amechelewa kipindi Niko field hospital x yeye alikuwa intern hospital hiyo hiyo, nilitokea kumpenda sana hii ni baada ya yeye kuonesha dalili za kunipenda., Kutokana na kuwa mpweke takribani miaka 24 ikabidi nijisogeze karibu naye Ili twende sambamba!
Naam,.tulifanikiwa! tukawa tupo close nikawa naenda kwake sometimes, na outing za hapa na pale.
Nilimuweka Wazi juu ya Hali yangu yakuwa mpweke takribani miaka 24 hivyo Nikamsihi kuwa natamani haya yawe ni mahusiano yangu ya Kwanza na ya mwisho, imeant nilitaka anioea kabla ya kula tunda kapasino.
Naam, alikubali na akaniahidi atafanya hivyo ndani ya mwaka huo
Licha ya kuwa close nae ila hakuwahi kunambia nimuonjeshe mapishi yangu jambo amabalo nililipenda saana kutoka kwake.
Wakati nakaribia UE ya mwisho alipata kazi Zanzibar hospital x hivyo akawa na mbali Mimi Hali iliyopelekea mahusiano yetu kufifia Kwan alikuwa anadai mara kwa mara niende Zanzibar kumtembealea NAMI nilikaza shingo kwani nilihofia chakula changu kinaweza kuliwa kabla ya wakati.
Alivokuwa anarudi Bara alikuwa hanambii isipokuwa nilikuwa napata habari zake kupitia kwa marafiki zake na status zake.
Baada ya siku kadhaa akanambia tuachane maana siko tayari kumpa ushirikiano, na akadai ana mchumba wake hivyo nisimtafute niliumia sana kiukweli., na kilichonifanya niumie zaidi ni kwamba nilikuwa nimeshamtambulisha Hadi nyumbani ,itoshe kusema alinitia aibu!
Toka juzi ananisumbua anataka turudiane baada ya kusikia naolewa, yote Tisa kumi, alivyo mshenzi kamtumia text My future hubby kuwa et hajamalizana na Mimi akaambatanisha na picha tukiwa wote kama udhibitisho, picha zenyewe nilikuwa 3rd year hukoo. Ila nashukuru mume wangu mtarajiwa hata hajastuka Kwan yeye ndo aliyepiga teke akavunja mlango baada ya kitasa kugoma kufunguka
UNIKOME, NAJUA UPO HUMU UNASOMA HUU UZI ,NARUDIA TENA, UNIKOME.
Mpaka ifike hiyo trh 13 ntaona mengi!
Uzi wa kichina huo usidanganyike ziko kibao siku hizi!!Daah watu wana bahati! , zama hizi mwamba kaifuma mbususu na kukata uzi.
Hajui kuwa siku hizi kuna mabinti wanatolewa bikra na mtaa mzima. Akili za kuambiwa always changanya na zako πππUzi wa kichina huo usidanganyike ziko kibao siku hizi!!
haha nipo shooππππ Shosti upo?
huyo uliemuita ni mgonjwa sasa subiri aje anishushie pragraph zisizoeleweka
uliza swali mahiKwamba mwandiko ni wa #unique flower ama mimi ndiye sijaelewa mkuu?
Naona sambamba na maua πhaha nipo shoo
we ngoja aje huko aliko niko tayar kwa mashambuliziNaona sambamba na maua π
mnamatatizo sana.Kwani unasema hivyo?