Alina Kabaeva: Mpenzi wa siri wa Rais Putin

Alina Kabaeva: Mpenzi wa siri wa Rais Putin

Au Biden nae anataka atest utamu demu anavyo nyumbulika si atamzimisha babu
 
View attachment 2200899View attachment 2200905View attachment 2200909

Anaitwa Alina Kabaeva ni mwanasiasa na mwanamichezo wa zamani wa Russia, mshindi wa medali wa Olympic, picha yenye maua alikuwa anampongeza.

Picha nyingine alikuwa anawaaga wanamichezo wa Russia waliokuwa wanaenda Olympic na picha ya mwisho mwanadada akiwa kazini, ana watoto wanne na Putin, ana miaka 38. Walikutana kwa mara ya kwanza 2003 na 2004 Putin akaachana na mke wake wa kwanza,mzee alivutiwa na Alina hiyo 2003 akajiongeza.

Marekani inapanga kumuwekea vikwazo Alina,ambaye inahisiwa anaishi Uswisi yeye na watoto wake.

Putin hataki kuongelea mahusiano yake na familia yake,anafanya siri sana,gazeti moja liliwahi kuandika kuwa Putin anataka kumuacha mkewe na kumuoa Alina lilifungiwa.Ukimuuliza kuhusu familia yake au Alina anachukia sana na anaweza kukupiga ngumi ya shingo.
Mwamba anakojoa pazuri
 
Mpenzi wa siri wa Putin.halafu wewe upo kwa mzee juma, nyumba no13, wilaya ya temeke,mkoa wa dar es Salaam,nchini tanzania, ukanda wa east africa,barani Africa.Unamjuaaaa!!!!
 
Back
Top Bottom