Alinambia ameolewa lakini bado akaendelea kunitafuta

Alinambia ameolewa lakini bado akaendelea kunitafuta

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
Eeh katika harakati

Za kidachu. Bhana nikakutana na mtoto mmoja black shape fulani ya kwenda nikaomba Namba mzee mali ikaita lakini pale pale nikamuuliza kama kaolewa akasema ndio 🄲nikasema basi tuishie hapo

Huwezi amini Baada ya wiki akanitafuta saa tano usiku

Nikamuuliza Ina maana mmeo hakagui simu mbona usiku sana we mke wa mtu akasema Kila mtu na simu yake hii hali ili endelea kama wiki mbili anatuma message satano usiku nikamkanya

Dah Sema wanaume tumeumbiwa tamaa nikaomba mzigo akakubali hapo ndipo nilipofanya mistake akawa anataka Kila siku

Hadi siku za danger, anakuja akasema tu Akipata mimba atamshikisha mshikaji(mume wake)hapa ndipo nilipoamua kumpiga chini demu huyo

Sasa lengo la kuandika huu uzi

Kilichoniuma ni kuwa mwamba kamfungulia demu business lakini bado demu anacheat

Kisa cha penzi letu kunoga zaidi siku nilipo enda kumchangia bidhaa kwenye duka la alilofunguliwa na mumewe

(ni conclude tu kwa kusema nothing you can do to satisfy a woman)

(usimfungulie mwanamke biashara au kumtafutia kazi ambaye umemkuta Hana biashara au Hana kazi)

(mara moja moja kagua simu ya mwenza usifanye Kila siku Ila shitukiza tu mara moja moja)
 
1000016859.jpg
 
Back
Top Bottom