Aliniacha kwa fedheha, lakini leo anahitaji msaada wangu

Aliniacha kwa fedheha, lakini leo anahitaji msaada wangu

Jina lake linaanzia na M ni binti wa kaskazini mwa Tanzania mwenye level ya diploma katika upande wa elimu.
Ndo maana mzungu katuwekea "block button". Just block her kaja kwako kwa sababu ana shida na anajua wewe ndiye msaada wake kwa sasa. Just move on with your life mtupe huyo ni shetani
 
Kama unaweza kusaidia bila kuathiri Mambo yako ya msingi msaidie tu kama binadamu mwenzako
 
Mabinti wa vyuo ndivyo walivyo mzehe. Vielimu vyao vinawapa jeuli na majivuno na kutaka kuwapandilia vichwani, ila wachache wanajitambua. Uyo aliempenda mwenye elimu kama yake si amsaidie basi, na mara nyingi wanakimbiliaga kwa wenye hella na wenye elimu zao kwakujua ataishi maisha bora, mwisho wa cku yananyanyasika na kupigwa chini, yanaanza kujutia. Nyambafu wahedi
 
Back
Top Bottom