Aliniacha mwenyewe sasa hivi yuko busy kuangalia Akaunti yangu ya Instagram

Aliniacha mwenyewe sasa hivi yuko busy kuangalia Akaunti yangu ya Instagram

Mkuu wewe endelea tu kua bize na mambo yako, atajichanganya tu kuanza kujileta upya.

Na hata kama akijileta, usioneshe shobo zozote, focus kwenye mishe zako zaidi huku ukizidsha mahaba kwa mtima wako.

Huu ushauri usiutoe, ukiona mtu anaandika haya ujue moyo wake uko kwa huyo bibie kitambo sema anasubiri bibie atinge na yeye anaona bibie anachelewa
 
Naomba kuuliza namna ya kuangalia viewrs wa istagram mfano ukipost video fulan unaona watu kadhaa wameview ila kila nikibonyeza nijui Ni kina Nan inagoma na nimejarib kwa simu tofaut tofut. Ajab Sasa likes unakuwa unajua kabisa Ni fulan na fulan ila viewers kwa ista naona inakuwa ngumu kuona Nan katazama video yako
 
Bado hujamsahau boss maana Kaangalia tu instagram yako umeandika uzi, akikupigia simu?
 
Naomba kuuliza namna ya kuangalia viewrs wa istagram mfano ukipost video fulan unaona watu kadhaa wameview ila kila nikibonyeza nijui Ni kina Nan inagoma na nimejarib kwa simu tofaut tofut. Ajab Sasa likes unakuwa unajua kabisa Ni fulan na fulan ila viewers kwa ista naona inakuwa ngumu kuona Nan katazama video yako
Itie kwenye maji ya mapovu.......maana wale views watatoka nje kuogopa sabuni machoni😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom