Aliniambia yeye ni bikra, kumbe hakuna kitu

Pole mkuu.
Kwenye mahusiano kuna hiki kitu.
Unapoanza mahusiano na mtu unaweza kumdanganya vitu vingi sana ukiamini siku sio nyingi utampotezea au hamtafika mbali mtaachana tu.
Lakini namna unaendelea kuwa na yule mtu unajikuta umempenda kweli na unajua ukimwambia ulimdanganya utamkosa, hii inasumbua sana.
 
Sasa kwanini mtu asiwe mkweli wakati hata akisema ukweli waweza mpenda na maisha yakaendelea?
Bora uambiwe kuwa haipo maisha yakaendelea kuliko kuambiwa ipo na mwisho wa siku ukakuta haipo!
 
Unakuwa haujampenda sasa. Ila unataka ucheze tu na akili yake umpe tamaa halafu umpotezee.
Na hii sio kwenye suala la bikra tu, watu wanadanganya hata majina, wanadanganya umri, kazi nk… wakijua hayo mahusiano hayafiki popote lakini unajikuta unaanza kumpenda kweli.
Na hii ni kwa jinsia zote.
 
Pole mkuu.
Kwenye mahusiano kuna hiki kitu.
Unapoanza mahusiano na mtu unaweza kumdanganya vitu vingi sana ukiamini siku sio nyingi utampotezea au hamtafika mbali mtaachana tu.
Lakini namna unaendelea kuwa na yule mtu unajikuta umempenda kweli na unajua ukimwambia ulimdanganya utamkosa, hii inasumbua sana.
Kwa kusoma tu
Umeelezea Kwa hisia sana
 
Mdogo wangu waga unakosoa mabandiko ya watu woote humu JF....sasa na lako tukosoe au?????
Maana kwa utunzi huu inaonyesha ww ni mvulana na sio mwanaume...!!!
Kabla hujapima bikira za wanawake.....tukupime ww kwanza kama una marinda........!!!
Mwanaume aliyekamilika na video sex.....wapi na wapi????....
Ulikuwa utoto ule ni muda umepita Mkuu....kila mtu ana mapito yake kwenye maisha yake haijalishi ya kitoto au ya kiutu uzima.

We kosoa uzi tuu mkuu
 
Papuchi ipo ila njia NYEUPEEEEEEE....hakuna hata ugumu ugumu ule, na mimi bikira nazijua niliwahi kutana nazo kama 2 kabla yake. Alidhani labda sizijui ha ha akataka uza mbuzi kwenye gunia
Kama njia ni nyeupe atakuwa anaumwa huyo. Huwa zinakuwa red au pink. Na ugumu maana yake inakuwa sugu. But si ulipiga? Ukakamua? Maisha yasonge mbele.
 
Unakuwa haujampenda sasa. Ila unataka ucheze tu na akili yake umpe tamaa halafu umpotezee.
Na hii sio kwenye suala la bikra tu, watu wanadanganya hata majina, wanadanganya umri, kazi nk… wakijua hayo mahusiano hayafiki popote lakini unajikuta unaanza kumpenda kweli.
Na hii ni kwa jinsia zote.
Nimekuelewa sana.
 
Mkuu umepoteza energy kubwa kuandika maneno yote ungeandika tu hivi kwa ufupi "MPENZI NILIYEMTONGOZA MIAKA MINNE ILIYOPITA KUPITIA DATE SITE ALINIAMBIA NI BIKRA ILA BAADA YA MIAKA MINNE YA MAHUSIANO NIMEMKUTA SI BIKRA ,WAKATI SIKUWAHI KUFANYA NAE NGONO KWA NJIA YA KAWAIDA ZAIDI YA SEX PHONE"
 
Mkuu kumbe gazeti lote hilo aliloandika main points ndo hzo tu?[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom