THE BEEKEEPER
JF-Expert Member
- Feb 23, 2024
- 1,462
- 7,157
Sasa kwanini mtu asiwe mkweli wakati hata akisema ukweli waweza mpenda na maisha yakaendelea?Pole mkuu.
Kwenye mahusiano kuna hiki kitu.
Unapoanza mahusiano na mtu unaweza kumdanganya vitu vingi sana ukiamini siku sio nyingi utampotezea au hamtafika mbali mtaachana tu.
Lakini namna unaendelea kuwa na yule mtu unajikuta umempenda kweli na unajua ukimwambia ulimdanganya utamkosa, hii inasumbua sana.
Unakuwa haujampenda sasa. Ila unataka ucheze tu na akili yake umpe tamaa halafu umpotezee.Sasa kwanini mtu asiwe mkweli wakati hata akisema ukweli waweza mpenda na maisha yakaendelea?
Bora uambiwe kuwa haipo maisha yakaendelea kuliko kuambiwa ipo na mwisho wa siku ukakuta haipo!
Kwa kusoma tuPole mkuu.
Kwenye mahusiano kuna hiki kitu.
Unapoanza mahusiano na mtu unaweza kumdanganya vitu vingi sana ukiamini siku sio nyingi utampotezea au hamtafika mbali mtaachana tu.
Lakini namna unaendelea kuwa na yule mtu unajikuta umempenda kweli na unajua ukimwambia ulimdanganya utamkosa, hii inasumbua sana.
Ulikuwa utoto ule ni muda umepita Mkuu....kila mtu ana mapito yake kwenye maisha yake haijalishi ya kitoto au ya kiutu uzima.Mdogo wangu waga unakosoa mabandiko ya watu woote humu JF....sasa na lako tukosoe au?????
Maana kwa utunzi huu inaonyesha ww ni mvulana na sio mwanaume...!!!
Kabla hujapima bikira za wanawake.....tukupime ww kwanza kama una marinda........!!!
Mwanaume aliyekamilika na video sex.....wapi na wapi????....
Kama njia ni nyeupe atakuwa anaumwa huyo. Huwa zinakuwa red au pink. Na ugumu maana yake inakuwa sugu. But si ulipiga? Ukakamua? Maisha yasonge mbele.Papuchi ipo ila njia NYEUPEEEEEEE....hakuna hata ugumu ugumu ule, na mimi bikira nazijua niliwahi kutana nazo kama 2 kabla yake. Alidhani labda sizijui ha ha akataka uza mbuzi kwenye gunia
Siyo nyeupe kwa maana rangi, ...yaani ha ha ha ha we elewa tuu mkuu. Nilipiga nikapita kushotooo....Kama njia ni nyeupe atakuwa anaumwa huyo. Huwa zinakuwa red au pink. Na ugumu maana yake inakuwa sugu. But si ulipiga? Ukakamua? Maisha yasonge mbele.
Nimekuelewa sana.Unakuwa haujampenda sasa. Ila unataka ucheze tu na akili yake umpe tamaa halafu umpotezee.
Na hii sio kwenye suala la bikra tu, watu wanadanganya hata majina, wanadanganya umri, kazi nk… wakijua hayo mahusiano hayafiki popote lakini unajikuta unaanza kumpenda kweli.
Na hii ni kwa jinsia zote.
Umejichosha mwenyewe kwa kuaminishwa bikra century ya 21 hii..Poleni kwa kuwachosha nime jitahdi sana kufupisha maana mambo yalikuwa mengi ila nimejitahidi mnoo kufupisha vitu.
Sitarudia tena kuamini hicho kitu mkuuuUmejichosha mwenyewe kwa kuaminishwa bikra century ya 21 hii..
Mkuu kumbe gazeti lote hilo aliloandika main points ndo hzo tu?[emoji23][emoji23]Mkuu umepoteza energy kubwa kuandika maneno yote ungeandika tu hivi kwa ufupi "MPENZI NILIYEMTONGOZA MIAKA MINNE ILIYOPITA KUPITIA DATE SITE ALINIAMBIA NI BIKRA ILA BAADA YA MIAKA MINNE YA MAHUSIANO NIMEMKUTA SI BIKRA ,WAKATI SIKUWAHI KUFANYA NAE NGONO KWA NJIA YA KAWAIDA ZAIDI YA SEX PHONE"
Nkunduh wewe😂😂😂Hii story ndefu sana. Ila nimeona wewe 27 yeye 23.
Inshort mwanamke akifika 18 bikra inatoka automatically.