Alinidanganya kuwa mumewe alikufa kwa stroke kumbe ngoma

Inatisha sana kusema kweli hasa ukitilia maanani pia kuna wale wenye roho mbaya ME na KE ambao wanajua ni waathirika lakini wanafanya makusudi ili kuwaambukiza wengine.

na denda ndio hatari zaidi maana hii miswaki ya kibongo bongo sio salama kabisaaaaa, naogopa mie

hivi unajua kuna wakati nilihisi ukimwi umeisha kabsaaaaa, maana sio kwa kutulia huku,,,,Mungu atusaidie wote
 
Mshukuru Mungu kiongozi
20211007_144341.jpg
 
Inatisha sana kusema kweli hasa ukitilia maanani pia kuna wale wenye roho mbaya ME na KE ambao wanajua ni waathirika lakini wanafanya makusudi ili kuwaambukiza wengine.
Acha kabisa, Mungu tu atusaidie maana sisi sio wakamilifu

I always pray that kwa kweli, naogopa tu ndo maana nimecheka sana mtoa mada alivyo muoga kama mimi.
 
😂😂😂😂😂 mie nimeshawahi kumkimbia mrembo kweli kweli wakati huo mimi na kinga mbali mbali kabisa halafu yule mrembo Caroline alitokea kunipenda sana. Kutokana na uzuri wake nikajisemea hapa ni kutaka kujiumiza roho yangu bure. KE mzuri kiasi hiki kuanzia utosini hadi kwenye kidole cha mwisho cha mguu. Akitembea tako linatetemeka na mguu ni mguu wa haja na mimi nipenda penda 😂😂😂😂 Sasa wakati bado na debate kuhusu kumnyandua siku hiyo natoka lunch (ofisi zetu zilikuwa jirani) Namuona huyooo anashushwa na jamaa lenye BMW nyekundu na hiyo BMW jamaa aliitumia kama mtama kwa Warembo na aliwala Warembo wengi Dar pia kulikuwa na tetesi kwamba jamaa wa kutoka ile kanda pendwa ni muathirika.
Basi siku ile ndiyo nilihitimisha debate yangu kichwani kwamba yule mrembo sitamvua picchu.
😂😂😂😂

acha kabisa , Mungu tu atusaidie maana sisi sio wakamilifu

i always pray that kwa kweli,,,naogopa tu ndo maana nimecheka sana mtoa mada alivyo mwoga kama mimi
 
NB. Hakuna anayeshare story ya maisha/Mikasa yake kwa nia ya kupata sifa. Kwanza hapa hatufahamiani, Siwezi tafuta sifa kwa watu ambao siwafahamu. kwa hiyo comment zenu kama mna undugu na Malaika wa pepo au mna connection mbinguni huo ni upumbavu hence unaweza tafuta jukwaa la fellowship ukaendelea na maombi na kunena kwa lugha huko. Hakuna. So far hakuna ambaye hana dhambi hivyo tukae kwa kutulia dadeq. Haya twende zetu......

.....Mimi na mke wangu hatuishi mkoa mmoja. Hayo ni maamuzi yetu ila soon tutaungana kuendelea na maisha tuliyochagua. Umbali kwenye mahusiano ni jambo la hatari sana kwa pande zote mbili iwe mwanamke au mwanaume. Niharakishe kusema kuwa binafsi nikipata upenyo huwa nachepuka ila kwa tahadhari zote yaani ngono salama. Pia huwa nahakikisha wife hagundui iwe jua iwe mvua(Sio sifa njema kuchepuka) Ila nimejitahidi kuwa mnyoofu kama wewe nimeshindwa. Nahakikisha wife hajui kwa sababu mimi ni baba na kiongozi wa familia yangu ninaye tegemewa na wanangu pia, Kumheshimu mke ni pamoja na kutomvunjia heshima na kumvunjia moyo hivyo nawajibika. Sasa Wife kwa upande wangu hana shida yoyote yuko very smart and humble ila kilanga changu cha kuchepuka ni udhaifu ambao napambanao vyema.

Katika pilika na mbanga za hapa na pale mjini kwenye mitikasi nilijikita nipo kwenye 18 za mama mmoja. Age yake kama miaka 38-40 basically amenipita kama miaka 3 au 4 hivi. Mwanzoni kazi zetu zilikiwa zinatukutanisha ila mwishowe tukabadilishana namba na tukadondokea kwenye Huba zito. Ni mwanamke mwenye African figure, Rangi flan ya kuchorea tatoo ikaonekana, tako la kuenea, Kama wewe ni mlevi wa miguu hapa lazima uweke kambi kwa muda. Awali wakati tunatongozana kupitia chattings za hapa na pale alinambia yeye ni mama wa watoto 3 na kwa bahati mbaya mumewe alifariki kwa Strock. Alipooza upande akamuuguza kwa miaka 4 kwa bahati mbaya akafariki mwaka 2018. Kwa kuwa mimi nilikiwa namtaka na tayari nishazama kwenye penzi hizo sikujisumbua kufanya utafiti(Huu ni udhaifu wa wanaume wengi) nikaamini na kuendelea kumnyandua.

Uzuri wake ni mtu mwenye upendo, mtu wa kiasi asiye na matata kabisa na pia ni mtii. Kifupi hana shida na yeyote. Anafanya kazi yake anasomesha wanae na kwa bahati nzuri mumewe alimuachia nyumba, Shamba na viwanja kadhaa, Haya nilikuja kuyafahamu baadae kwani sikuingia kwenye mahusiano naye kwa ajiri ya mambo hayo. Mimi nilitua kwenye anga zake sababu ya utelezi tu, Ninacho jaribu kusema hapa ni kuwa hatukuwa wapenzi kwa sababu ya material things ilikuwa ni penzi tu. Usija ukaniita marioo KAZI zilitukutanisha. Kila mtu ana kazi yake na maisha yake, Kitu kingine ni kuwa huyu mwanamke sio mchoyo wa kubanabana mzigo, Anakupa nzimanzima utachoka wewe. Ukimhitaji mkipanga haipanguki lazima mtakutana na kupeana kama lengo la msingi la awali la kutongozana linavyo ainisha.

Baada ya miezi 2 siku moja katika story na jamaa mmoja ambaye hajui kama namla yule bibie na wanafanya kazi ofisi moja nilitumbukiza jina la bibie katika Story. Ebwaneeeee nilijuta jamaa akanambia anamjua huyo bibie na mumewe alikufa kwa ngoma na alikuwa muajiriwa na wizara moja ya mambo ya ndani wale jamaa wanaopambanaga na Chadema kwenye maandamano. Dhaa nilichoka. Jamaa akaongeza mbona bibie anatumia dawa toka kitambo na alidhoofu sana hapo katikati kabla hajaanza dawa tulijua anachomoka naye.

Sema baada ya kuzingatia dawa sasa hivi amekaa vizuri na mwili wake umerudi kwenye form. Niliishiwa pozi kiukweli though sijawahi fanya naye bila kinga ila wenge la habari hiyo nimeishi nalo kwa miezi 3 nikiteseka ndani kwa ndani. Wataalam wanasema condom sio protection kwa 100% haya kuna zile za kunyonywa MIC...dhaaa hilo wenge lake ni nyooko kabisa. Kuna siku nakumbuka tulitoka kwenye shughuri moja usiku nikampitisha kwake nimdrop then niende zangu kwangu bibie akaomba achezee Koni....akapewa tukiwa kwenye gari ila sikumla ile siku sikiwa na ndomu.....

Haya mambo usichukulie masikhara. Kila nikikumbuka haya matukio Moyo unazizima kwa msongo wa mawazo. Nilicho kifanya nilielekezwa kituo cha CTC ambako huwa anachukulia dawa nikamlia rada kama mara 3 bila mafanikio. Ikabid nimtafute dada mmoja nimpe ile inayopingwa na TAKUKURU nikamuonesha picha zake kupitia instagram page yake.

Yile dada kuona tu picha moja akasema namjua huyu akanipa details zake zote since anaanza kutumia dawa hadi leo kuwa ni member wao. Huu utafiti ndio kabisa ulunichanganya akili nikajua hapa nimekwisha ila tumaini langu pekee likawa ni kuwa sijawahi mla kavu. Baada ya miezi 3 ya kuishi kwa mateso na msongo wa mawazo nikajipeleka mwenyewe kwenye Clinic moja binafsi kucheki Afya. Nyie acheni tu haya mambo. NIMEPONA kwa mara ya pili baada ya ile ya kwanza niliyo wasimulia hivi karibuni niliyoiita MANUSURA WA UKIMWI.

NB. Sisimulii hii mikasa ili kujikweza au kujisifia. Vyovyote iwavyo kuna jambo utajifunza kupitia mimi. Kila nikiwaangalia wanangu na mke wangu najionaga nazingua sana sometimes. Ila UBINAFSI ni jambo baya sana maishani. Kila unavyofanya jambo fikiri juu ya watoto wadogo na mama yao. Nimejipa nadhiri kuwa kwa sasa nataka kutulia. Namuimba Mungu anisaidie sana. Mara mbili nachomoka katikati ya mitego ya kutisha, Jaribio jingine najua nitakwenda na MAJI.

NB: Kutika Clinic za wamama wajawazito na vituo vya Afya. Takwimu zinaogofya. Wazazi ambao ndio wanazaa kwa mara ya kwanza rate ya maambukizi iko juu. JIFUNZE KUPITIA MIMI. UKIMWI UPO

UKISHINDWA KABISA TUMIA CONDOM kwa usahihi hiyo ndio Option ya mwisho.

Kwahiyo mliachana, ama?? Nini reaction yake baada ya kummwaga???
 
Sure! Ukweli ni kwamba wote tupo ktk risk kubwa ya kuunganishwa ktk glid ya taifa! Tumshkuru Mungu tu Ukimwi wa sasahivi sio mkali kama ule uliomuua Lwambo Luanzo.
The old man lost about 100 killos, licha ya kuwa alikuwa ni mmoja wa watu wenye pesa nyingi sana na alikuwa anakula msosi mzuri
mwanae anasema siku anamuona baba yake kaja kumpokea Airport alishangaa sana mpaka akamuuliza kulikoni
 
Alikua sahihi kukukwambia kilichomuua mumewe maana ukimwi si ugonjwa, alikuwa na ukimwi ila kilichomuua ni hicho alichokwambia.
Bila shaka unamjua vyema huyo mwanamke... Kwa jinsi alivyoelezewa hapa
 
Pole mdau
Lakini kuna taarifa wanadai kwamba mtumiaji mzuri wa ARVs huwa haambukizi kwa sababu viral road yake ni ndogo sana na wadudu wanakuwa kama mateja hivi kwahiyo kama kings zako ziko poa huwezi ambukizwa
Naamini kabisa hiyo ndo salama yako na wala sio condom
Alishalamba koni na unavaa kondom dushe likiwa limelowa mate [emoji1787][emoji1787] halafu eti ndomu ikukinge na wadusu SUBUTU
Asante kwa kushare experience hiyo ya maisha. Ushauri wangu usimwache bi mdogo huyo kama bado unaishi huko. Ila hakuwa mkweli labda alikupenda sana na hakutaka umwache. Vinginevyo ni mdada mzuri amekufaa sana wakati wa nyege so usimbwage zingatia ngono salama na maisha yaendelee.
 
Hii kitu ni hatari sana hata kama unatumia kinga, namaanisha kuna kula denda na denda linaliwa nyama kwa nyama.
So far so good maaambukizi kupitia mate ni asilimia chache mno otherwise viral load kwa huyo partner iwe very high na pia mtu ambaye yupo on regular antiviral medications possibility ya kuambukiza inakua low kiasi anaweza kua kama negative UKIMWI BADO UPO SANA
 
Sure! Ukweli ni kwamba wote tupo ktk risk kubwa ya kuunganishwa ktk glid ya taifa! Tumshkuru Mungu tu Ukimwi wa sasahivi sio mkali kama ule uliomuua Lwambo Luanzo.
Makiadi yule wa TP Mazembe?
 
Tunaitafuta December mosi Hivyo hizo habari mzizoee Wana member wa JF
 
Back
Top Bottom