Alinidanganya kuwa mumewe alikufa kwa stroke kumbe ngoma

Kumbuka ili upate ngoma inatakiwa kuwe na michubuko na ndom pia huzuia mchubuko kwa mwanaume mkuu
 

Pole sana Mkuu...
Naongezea....
Wanaume wengi hatutumii condoms,
Wanaume wengi 95% akimpata Mchepuko hakuna anaemwambia Tukapime kwanza, au awe na Kipimio binafsi hakuna wapo Wachache sana humu JF kuna Mmoja alikuja huwa anatembea nako, Kabla ya Ku do na Demu anamoima Kwanza,
Hata Kama Wengi unakuta Kaambukizwa Long time, Ukipima Imooo Au Atakataa...
Na Wengi wanaogopa Kukataliwa!
 
Ukweli ni kwamba ukiendekeza ngono zembe uwezekano wa kupata ngoma ni mkubwa nimeshuhudia watu wa kalibu yangu walio kuwa wananifanyia wao asipite demu mkali lazima wawe nae wote hawapo duniani Tena baba zangu wadogo wawili jilani watu ni wengi
Bora tutulie tu tuwaheshimu wake zetu tuache kuwatia majonzi pili tuangalie watoto wetu tueaonee huruma baba unapo ondoka watoto wanabaki kuhangaika sana
 
The old man lost about 100 killos, licha ya kuwa alikuwa ni mmoja wa watu wenye pesa nyingi sana na alikuwa anakula msosi mzuri
mwanae anasema siku anamuona baba yake kaja kumpokea Airport alishangaa sana mpaka akamuuliza kulikoni
Unamjua mwanamuziki wa Nigeria wa miaka hiyo alikuwa anaitwa Fela Kuti Anikulapo. Ana kijana wake nae ni mwanamuziki kama babake anatumia nae ubini huohuo wa dingi yake. Mzee huyo nae aliondoshwa na ngwengwe. Wanamuziki miaka hiyo na hata Sasa kwa huo umaarufu wao ni wa kuombewa. Kiujumla ngwengwe ni hatari kuliko Covid.
 
Haka kaugonjwa ni kama kamari mda mwingne. Unaweza kuukwepa kwa kuepuka michepuko au kutumia kinga kila.unapo chepuka alaf mwenza wako mke/mme akakuletea. Maana wenza wetu tuna waamin sana kiasi cha kutoitaji kondom au kupimana afya zetu mara kwa mara na Ukimwi mara nyingi unaupatia pale unapopaamini.
 
Unapochakata mbususu ngeni,make sure box kama hili lipo getho, get tested kwanza kabla yakuchakata mbususu! Demu akigoma tu,tumia kondomu!! View attachment 1990388

Mkuu Ungeshauri Vinapatika wapi hivi?
Pili Kwanini agome...Utasikia Ooh sikujiandaa...Ungeniambia Kabla nijue ili nijiandae....Daaa
Mwingie Oooh naogopa Kuchoma mwili wangu na Sindano...hata Kama ni kidole...Hiyo ndo inaumaaa naigopa sanaaa[emoji3516][emoji30]
 
Hongera ila Nina swali?

Wangapi wanatumia Kinga kwa mwanamke ambaye unafanya naye tendo zaidi ya Mara tatu mpaka kumi bila hata siku moja kuvua condom?

Kama ulichomoka basi hongera!!
Swali zuri sana, in short hakuna mwanaume anayefanya tendo zaid ya mara tatu mpaka kumi bila siku moja kuvua condom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…