Alinikazia enzi hizo, Lakini sasa kaachia. Hii imekaaje?!

Mwenzetu cjui kaandika Nini acha nifatilie comments labda nitaelewa kitu.
 
Wanawake wana vidumu kama wanaume tu, sio jambo la kushangaza...

Na zaidi ni kwamba wanaume wengi wanalea watoto wasio wao kibaiolojia...
 
Kama umeisoma yote ebu fanya kutupa sammary isiyopungua maneno 150
 
1 Mwanamke ana shida ya hela
2 Ndoa yake ina majanga anatafuta sababu
3 Ukila cha mtu chako nacho kitaliwa
Nakupa hii stori fupi nilikula mke wa mtu akisema mumewe hanyandui mwezi sasa. Miezi mitatu waka talikiana nikala mzigo kama wangu hapo sasa baada ya mwaka amepata mwanaume mwengine(kishakuwa mchumba wa mtu mwengine mahari yashatolewa) akanambia ananiletea mbususu kabla ya kuolewa hapa nilikataa nilijua huyu Malay…a tu. Mume wa mwanzo alitoa sababu sasa huyu mchumba wake ana sababu gani hata aniletee mbususu??
 
Ha ha ha ha hiyo aya ya mwisho ndivyo ilivyo
 
Story yako ni kama yangu ila mi napewa mpaka na ikinai ila hawa viumbe bhn dah [emoji849]
 
Kama umeisoma yote ebu fanya kutupa sammary isiyopungua maneno 150
Summary yangu ni less than 150
Jamaa analikua mfanyakazi akakutana na demu mpya ambaye alienda kuomba ajira 2018 jamaa alikuwa mkuu wa kitengo cha huyo demu

Akatokea kumkubali hivyo akamfukuzia for 1.5 years mpaka 2019 mwezi wa 6 lakini demu anampiga cha mbavu jamaa alikuwa anajua pattern ya simu ya demu hivyo siku moja akaifungua na kukuta kuwa demu si bikra na ana mtu wake waliokua wanatombana sana

Mind you demu alimdanganya jamaa kuwa ni bikra kumbe hola tu

Basi jamaa akaacha kazi akadeal na mishe zingine town wakaja kutextiana majuzi wakati kila mtu kafunga ndoa yupo kwake

Inshort demu anataka jamaa akamgonge ilhali kaolewa 🤔🤔💩
 
Huwezi ukala mlenda kila cku hata kama unaupendaje.
 
Anza. Kutumia ARV
 
Msumari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…