Alinikazia enzi hizo, Lakini sasa kaachia. Hii imekaaje?!

Japo ushauri hautaki ila chunga asije akawa anatafuta mtoto kwako. Wanawake akili zao wanazijua wenyewe Mkuu.

#KATAA NDOA
Dahhh kama unaona ishawahi kunitokea hii maana ana mtoto wangu kabisa ila nilipiga mara moja nikahisi tuu huyu sio kwa ashki zile.
 
Ukimchapa huyo mke wa mtu nakuhakikishia na wewe lazima wahuni wakuchapie mkeo. Dhambi ya uzinzi huwa inamrejea mtendaji hapahapa Duniani.
 
Bora ulivyokataa! Umenusurika na UKIMWI hapo
 
Kwahiyo yule poti wa zenji ndiye mwenye akili ee?🙂
Hana akili pia,umeoa na unaetaka zini nae kaolewa pia. Assume nmefanya hivo mmewe akagundua utapata fdheha kiasi gani? Tulia na mkeo acha uzinzi
 
Sio kuchapiwa tu,afkirie akikamatwa na mwenye mke itakuaje?
Ukimchapa huyo mke wa mtu nakuhakikishia na wewe lazima wahuni wakuchapie mkeo. Dhambi ya uzinzi huwa inamrejea mtendaji hapahapa Duniani.
 
Dahhh kama unaona ishawahi kunitokea hii maana ana mtoto wangu kabisa ila nilipiga mara moja nikahisi tuu huyu sio kwa ashki zile.
Wataalamu wanasema ukiona mkeo anamvalisha au kumnyoa mtoto wenu wa kiume tofauti na vile ulivyo wewe, basi jua kuna mtu hajamsahau.
 
Uyu jamaa amefeli vipengele vingi ,et una mpenzi!??😅😅 Haileti Afya kusoma
 
Isije kuwa unatafutiwa kesi maana Kuna watu ni washenzi wa tabia
 
Sijaomba ushauri wako mama.
 
Ulitaka kuona nini? Injili ya Yohana au Madai ya katiba mpya? Majukwaa yapo mengi tuu humu. Unaweza enda huko wasikozungumzia NGONO.
Majibu yako yananikosha !kuna watu humu vihere here sana kila mada anataka kucoment!!
 
Halafu sasa nyinyi mnaojifanyaga mashababi online, kwa ground ndo mnakuwaga hovyo kabisa. Zero mara zero🙂🙂
Nope namba ya dadaako, au demu wako ndio utajua kama mi ni shabibi au sio; kama huna hai wote nope hata ya bi mkubwa.

Kwanini tuandike mate wakati wino upo>
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…