Alinikimbia.... anapiga goti.

Katika kitu ninachopinga kwenye mahusiano ni hii mambo mpaka tuoane ndo to do.Haya ndo maumivu yake sasa ungem do hata usingefikiria hapa

Ila mafundisho ya dini yanatukataza ku do kabla ya ndoa.
 
Mkuu OGOPA SANA kula chakula kilchoshnda jana, HAKIKA NI SUMU kubwa kumrudia huyo dd!Maisha ni golden chance,msamehe mtreat as aza dents bt usirudiane nae kamwe utajuta badae!Hlo ltakua somo kwake na kwa jamii, USIONGOZWE NA HISIA!Busara muhm hapo
 
i hiyo sumu kaka kaa mbali kama kweli alikupenda kwa kiasi hicho anachotaka kukuhadithia kwa sasa angelikupa zawadi/heshima ya kuiondoa bikira aliyokuwa anaongopa anayo, maelezo yako yanadhibitisha sio mwaminifu hata punje!!!!!
 
Jamani chipukizi hiyo avtar yako inanivunja mbavu! Kila nikiiangalia naishia kucheka hadi machozi. Looh :lol:! Jf kuna mengi zaidi ya tujuavyo!


Sepa utakuja juta mara ya pili.ana lolote huyo,je asingekuona ingekuaje?mpotezee
 
Jamani chipukizi hiyo avtar yako inanivunja mbavu! Kila nikiiangalia naishia kucheka hadi machozi. Looh :lol:! Jf kuna mengi zaidi ya tujuavyo![/QUOT

Ni Ainu hata kuja kuomba ushauri hapa kuhusiana na hili, hafai.
 
Unadai mwenyewe kuwa hukuweka saini yako qake hivyo unataka kuweka sasa! jibu unalo mwenyewe umekuja huku ili tukupe mwongozo gani? Ukitaka kuweka saini katika ukurasa uliojaa: kazi ni kwako. Ila ilishidwa kuweka saini katika ukurasa mpya kabisa qanini uhangaike kutafuta nafasi ya kusaini katika ukurasa uliojaa? Sina USHAURI

Bazazi ni Bazazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…