Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Katika kitu ninachopinga kwenye mahusiano ni hii mambo mpaka tuoane ndo to do.Haya ndo maumivu yake sasa ungem do hata usingefikiria hapa
Ila mafundisho ya dini yanatukataza ku do kabla ya ndoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika kitu ninachopinga kwenye mahusiano ni hii mambo mpaka tuoane ndo to do.Haya ndo maumivu yake sasa ungem do hata usingefikiria hapa
hiyo sumu kaka kaa mbali kama kweli alikupenda kwa kiasi hicho anachotaka kukuhadithia kwa sasa angelikupa zawadi/heshima ya kuiondoa bikira aliyokuwa anaongopa anayo, maelezo yako yanadhibitisha sio mwaminifu hata punje!!!!!Nilikuwa naye kwa miaka 4 kipindi tukiwa masomoni yy secondary mm University miaka kadhaa nyuma. Hatukuwai kufanya sex kwa makubaliano hadi aitimu masomo yake kwani hakuwa amewai kuduu kwa kuwa nilimpenda sana tulifanya kila kitu isipokuwa sex inshort i was crazy on her, kwa kipindi hicho tulikuwa tukionana wakati wa likizo tu alionyesha dhahiri kunipenda kwani ndugu zake Mama yake dada zake na kaka zake wote walinifahamu hili lilinifanya nimuamini zaidi.
Ajabu mara tu baada ya mm kuitim kwani na yy ndo alikuwa kaitimu nilimwambia kabla ya lolote inabidi tukacheki afya zetu kwa usalama zaidi hapo ndo ikawa chanzo kwani alikataa kwa kigezo cha kwamba yy hajawi kudoo hivyo yuko salama ama otherwise nisubiri amalize chuo kama utani akaanza kutopokea simu zangu hadi kufikia hatua ya kuwa anakata, niliumia zaidi ya maelezo. Nikaongea na ndugu zake pamoja na mama yake ili wasaidie kumweka sawa ikashindikana at last nikagive up na maisha yakaendelea but behind the scene nikapata taarifa anatoka na kijana mwingine
Mwaka uliofuata nikapata scholarship ya masomo ulaya kwa hiyo mawasiliano hayakuwepo hata chembe baada ya kurudi kama zali nikapata nafasi ya kuwa assistant lecturer chuo fulani hapa jijini kumbe na yy alikuwa amechaguliwa hicho chuo na yupo mwaka wa 2. kituko 1 day nikaingia kupiga pindi darasa ambalo ndimo na yy alimokuwa i was shocked baada ya kuiona ile sura ikinyanyuka na kutoka nje kisha kurudi muda wote alikuwa amejiinami
Nilivyotoka lecture alinifata na kuomba contact zangu kisha kuomba kuonana nami nilikubali... katika nafsi yangu mapenzi kwake hayapo tena ila naona kuna kitu still sikujitendea haki nilikikosa kutoka kwake na hii hali najaribu kupingana nayo hadi sasa ila nashindwa........ Wekend iliyopita tulikutana na kuzungumza sana ila kikubwa aliniweka wazi kwamba anamzigo mkubwa sana katika nafsi yake hasa akikumbuka alichofanya kwangu anaomba nafasi nyingine walau athibitishe alinipenda sana nimsaidie kutua mzigo alionao{ penzi lake kwangu}
Sikumjibu ila nilimwambia kuna ya kuzungumza zaidi kwani mm nina mpenzi wangu sitaki kumtenda.... eti kadai itakuwa ni siri yetu. Wakuu wenzangu mzigo wa penzi ni mzito mnooo hasa ukiona kuna kitu hakikutimia katika mahusiano husika hadi sasa nawaza na kuwazua what am i supposed 2do, najua humu ndani naweza pata ushauri na nafsi yangu ikapata nafasi ya kujiridhisha.
Sepa utakuja juta mara ya pili.ana lolote huyo,je asingekuona ingekuaje?mpotezee
Jamani chipukizi hiyo avtar yako inanivunja mbavu! Kila nikiiangalia naishia kucheka hadi machozi. Looh :lol:! Jf kuna mengi zaidi ya tujuavyo![/QUOT
Ni Ainu hata kuja kuomba ushauri hapa kuhusiana na hili, hafai.