Alinilingia kunipa mbususu sasa nimeoa lakini bado ananitafuta

Alinilingia kunipa mbususu sasa nimeoa lakini bado ananitafuta

Sensei Tai

Senior Member
Joined
May 26, 2022
Posts
168
Reaction score
466
Huyu binti niliwahi kuanzisha nae mahusiano dakika za mwisho mwisho wakati nakaribia kufanya mtihani wa kumaliza mwaka wa tatu chuoni (UE)

Wakati naingia nae kwenye mahusiano yeye alikua anasoma level ya certificate na mimi nilikua namalizia mwaka wa mwisho wa degree yangu ya kwanza.

Baada ya kuingia nae kwenye mahusiano nilikaa baada ya muda kdg nikaomba mbususu lakini akawa ananidengulia nikaona sio kesi siwezi lazimisha hizi mambo, me nikapiga zangu pepa nikamaliza kisha nikarudi zangu Dar es salaam ambapo ni nyumbani ili nipambane na soko la ajira.

Nilivyorudi Dar akawa ananitafuta kama kawaida ila binafsi nikaingia uvivu hata wa kuongea nae na kujibu text zake kwa wakati mana mbususu kaninyima sasa ananitafuta ili iweje na wakati huo tupo mikoa miwili tofauti.

Mungu alinijalia nikapata kazi na nikaoa na kufanikiwa kupata watoto wawili.

Baada ya kukata nae mawasiliano alikuja kunitafuta kama baada ya miaka 4 mbele na nikamwambia bila kuficha kwamba nishaoa na nina familia yangu.

Ili aamini kwamba nimeoa ilibidi nimuonyeshe na picha ya mke wangu ambae kiukweli ni mzuri kuliko yeye na pamoja na picha za watoto wangu.

Huyu binti pamoja na kumpotezea na kumuonesha kwamba sina interest nae bado anaendelea kunitafuta sasa sijui ananitaka nini wakati sijawahi hata kuichakata mbususu yake.

Kuna wakati mpaka nawaza kumwambia kwamba asinitafute katika kipindi chote cha maisha yake yaliyobaki hapa duniani ila bado nafikiria kwamba nimwambie au la.

Mabinti mkiona mwanaume ulikua nae kwenye mahusiano na ameshaoa acheni usumbufu, tafuteni watu wengine wawaoe kuliko kuleta usumbufu usio na ulazima.
 
Siunaona, kama ilivyo Kwa mwanamke akishaolewa, basi jamaa zinaanza kumfukuzia Kwa kasi.


Hata sisi Wanaume ukishaoa , Wanawake wanakufukuzia, tena kwao inazidi kwakua mwanamke siku zote za pumzi yake Huwa yupo kwenye competition na mwanamke mwenzake.
 
Inategemeana na wewe mwenyewe mhusika. Wengine wanatumia USED ( scrapper) lakini wengine ni mwendo wa brand new
 
Pole kwa changamoto unayopitia, bila shaka huyo binti ni mpweke.

Mimi Vishu Mtata nitakusaidia bila malipo, cha kufanya nitumie pm namba ya huyo binti kwa msaada zaidi.

Pole sana mkuu.
 
Siunaona, kama ilivyo Kwa mwanamke akishaolewa, basi jamaa zinaanza kumfukuzia Kwa kasi.


Hata sisi Wanaume ukishaoa , Wanawake wanakufukuzia, tena kwao inazidi kwakua mwanamke siku zote za pumzi yake Huwa yupo kwenye competition na mwanamke mwenzake.
Kwahiyo hapo unakuta anataka kumkomoa mwanamke mwenzake? Ni kwanini wanawake wanapenda competition wao kwa wao? Alafu ni kweli mkuu wanawale hawapendani? Carlos The Jackal
 
Back
Top Bottom