Alinitesa ila nilitoka kidedea na somo kubwa.

😂😂😂😂😂 Ukioa lazima ujifunze na kubembeleza mke au sio mkuu
Kuoa ni hatua ya maisha ya mwanadam hapa duniani.Isitoshe mwanamke ni msaada kwetu,hili nimeliweka kuitu uzima,sasa ikiwa mwanaume utakosea njia au kwenda kinyume na amri za kubinadam lazma ujihisi kuishi bila mke ni sahihi.Vijana tukipata wa kuendana nae tuendelee tu,kikubwa NIDHAMU,mbona watu wanaishi na tunawaona.

Quote Reply
 
Pole
 
Sikuzote zuia moyo wako kupenda kitu kiitwacho mwanamke

Tena zuia moyo wako kumpenda mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…