Alinitishia kusambaza picha zangu za utupu kama nisipompa milioni 1. Nilitoa taarifa polisi akakamatwa

Alinitishia kusambaza picha zangu za utupu kama nisipompa milioni 1. Nilitoa taarifa polisi akakamatwa

Acha uboya wee,
Mchepuko asiku shike akili, UNA WEZA MPAKA HIYO 1M then ikiisha anasema anataka tena 3m vinginevyo anaiuza,
HUONI UTAKUWA MGODI WAKE???

Wee mkazie TCRA, POLISI, NK.
Hataakiiuza au kuitoa mitandaoni au kwa mkeo poa tu,

KWANI YEYE HAYUMO? AU HAONEKANI??
Acha kutu aibisha wana ume bwana,
Wee vipe??????
 
Mwambie awe na subira untamfitie hyo pesa hap Happ tafuta vijana nikiwemo mm niongoze genge la kwenda kumtela au kum eliminate kbsa ithink elimination method itafah kwa watu wa hvyo
[emoji3][emoji3][emoji3]
Elimination method.
 
Usitume pesa
Usitume pesa
Usitume pesa


Nimeandika mara tatu kwa msisitizo ..


Cha kufanya record message zake za vitisho na mpigie kumbembeleza ili upate audio records kusanya ushahidi vya kutosha


Nenda polisi wape hata kilo wam shake kidogo kwa kesi ya blackmail mbona atazifuta
 
Hiyo ukienda nayo police then mahakamani atakulipa hela nyingi sana na atatumikia kifungo chamsingi tunza ushahidi wa hivyo vitisho then Tafuta wakili mzuri swala dogo sana hilo anafanya jinai wazi wazi

Pole sana
 
Usitoe shi 10. Nafaham uki trace line ya wadau wako ulopiga nao shule toka primary mpaka chuo lazima kuna Police kadhaa waambie wamtie jamba jamba mapemaa wamuite kituo cha polisi hakuna namna bora Fedha (kidogo ikutoke) kuliko Fedheha (ikupate)
 
Utakufanyia mental control yaani ukimpa tu iyo pesa maana ni ndogo sana atakausha hatumi,siku nyingine atakuja tena kudai pesa nyingine hapo utakuwa kama fala anachosema unatii .

Punguzeni umalaya hayo ndo malipo ya hapa hapa duniani.
 
Duuh [emoji120]Kwanzaa pole Sana kwa Hali iliyo kukuta,

Pili najua upo katika wakati mgumu Lakin is a unaweza kuwa katika wakati mgumu zaidi mana utakuwa mtumwa wa Hilo jambo unaweza mpa iyo million alafu baadae a kataka Tena zingine mana picha anazo na hujuh anazo ngap na kazi weka wap na wap.

Dawa ni ndogo tuuu mwambie azifanye a nacho taka pesa we humpi. Na kama ange kuwa nashida ya pesa bora ange omba kuliko njia alio tumia ukiingia kwenye huu mtego utakuwa mtumwa na mwsho Uta chukua maamuz magumu ya kukughrim
Kabisa ! Akimpa hiyo 1 M ataendelea kuwa mtumwa na anaweza toa ata 20M. Akatae hilo , Aende Police akamripoti ,Askari wana njia zao watamkamata- wataangalia Simu yake kutoa ushaidi wa Sms, Video na Whatsup chats watamfungulia mashitaka kama yule Mrembo Siwema aliezaa na Ney wa Mitego alie fanya kitendo kama hiki kwa mbabu mmoja hivi Mwanza. Siwema wa Nay wa Mitego Afungwa Miaka Miwili Gerezani kwa Kutishia Kusambaza Picha za Uchi za Mpenzi Wake
 
Kama kweli huyo demu kadhamiria basi issue imekwisha kua out of control, atakusumbua tena hata ukimpa hiyo hela

Fanya hivi
Kuanzia sasa hakikisha una record kila kitu kuanzia maongezi sms watsap nk ya vitisho vyake ili akiharibu kweli basi nayeye asipone

Anza kumremba kama unataka kukubali ili upate rekodi ya vitisho vyake vyote kisha umwambie kuwa una rekodi zake zote za vitisho na umtumie asikie kisha mwambie achague kufungwa wewe upate aibu au mambo yaishe
Lazima atakua mdogo hapo

Anza hilo zoezi mara moja
Maana wakina mwijaku walipona sababu alikosekana aliyezisambaza
Kwa vitisho vyake na demand zake utampiga pin
Ana haja ya hayo yote: Aende Police tu kumreport- police wanauwezo wa kuipekuwa simu yake Kidogital na kupata ushaidi wote na kumfungulia kesi na atafungwa. Wala asiogope chochote ashakuwa jini hilo ana haja ata ya kumkaribia tena.
 
Kwa mange video anazopokea n zile za cerebrity maana kwake ile n biashara na ndio zitakazo enda town kwa kas ya virus

Hope mleta mada wewe siyo celeb

Pili muandae kisaikolojia mkeo mapema ili awe upande wako

Usitoe pesa Bora hyo pesa umpe wife wako Kama msamaha kuliko huyo Malaya

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu hii issue ni ngumu kidogo naomba tuwe serious kutoa ushauri badala ya kulaumu, shit happens sometimes!

Hebu vaa hivi viatu kisha toa ushauri.

Una familia yako mke na watoto na una mchepuko wako, ghafla mchepuko ambao mnakwenda nao sawa muda wote unatega kamera na kuchukua tukio wakati mna vunja amri ya 6 kwenye chumba chake ulicho msaidia kulipa kodi

Baada ya hapo anakutumia clip kisha ana demand 1M la sivyo anaiuza kwa dada Mange au anaivujisha tu.

Mchepuko umekwanda mbali na kudai kama mbwai mbwai, ukimpeleka tu polisi anaiachia mitandao kwa Da Mange, yupo tayari kurisk lolote ili mradi aipate 1M.

Tafadhali mahubiri na wale wa kwanini uchepuke kaeni pembeni kwanza, majemedari wapangue hii kesi kisha mtafuata baadae.

Usiniulize kama ni mimi au la, toa ushauri tafadhali.

Deadline ni Jumatano.

Nawasilisha.

Uwezo wako ni mdogo sana, Nina uhakika ningekaa na huyo Dada week 1 tu ningejua what is capable of, tabia haijifichi!

Mtu mwenye kufanya hivyo lazima ana vitabia vidogo vidogo vingi vya hovyo, sema uwezo wako ni mdogo wa kuelewa upo na mtu gani!

Ushauri:

We never negotiate with evil, if you give in unatengeneza tabia ya kijinga sana na she May come back in future na record ya hiyo video.

Muahidi wamlipa atulie, kabla ujampa Nenda na hiyo video police awe arrested, watoe wajeda: 300,000 wahakikishe wana mu Harras mpaka anatoa record zote.

Ukiona mwanamke anafanya mambo ya kishenzy hivyo, lazima ana mwanaume nyuma yake anayemwongoza, acheni huu uasherati.
 
Baada ya hapo anakutumia clip kisha ana demand 1M la sivyo anaiuza kwa dada Mange au anaivujisha tu.
Sikiliza nikupe ushauri wa kibabe, jamaa Yangu alipatwa na msala kama huo na Binti wa NIT (mnafahamu sana), basi yule Binti akamrushia picha Moja kwanza kumuweka SAWA......dah jamaa akapaniki.

Demu akasema nataka pesa (mshiko mnene) la sivyo naachia nyingine video Tena Kwa group la Wanafunzi wa hio kozi.

Jamaa akawazaaa akaona ujinga huu, akamjjibu tu Very simple " ulinirekodi wakati nakula au naliwa? Kama umenirekodi nikiwa nakula aiseeee wewe Sambaza tu ila hupati hata kumi" na game ikaishia hapo.

Kwahio kama ulikua"kazini" hapo sawa ila kama ulikua unatafunwa, basi tafuta suluhu!

Wewe ni mwanaume, usikubali huo ujinga, let it be Wala huna haja ya kwenda police Wala wapi. Take it from me
 
Mwambie avujishe tu huna mpango wa kumpa hiyo milionii, Kama mbwai na iwe mbwai.

Au kama mapigo mazuri mwambie muipeleke brazzers kabisa huenda akapata nafasi ya kuigizia huko atapewa zaidi ya milioni
 
Uwezo wako ni mdogo sana, Nina uhakika ningekaa na huyo Dada week 1 tu ningejua what is capable of, tabia haijifichi!

Mtu mwenye kufanya hivyo lazima ana vitabia vidogo vidogo vingi vya hovyo, sema uwezo wako ni mdogo wa kuelewa upo na mtu gani!

Ushauri:

We never negotiate with evil, if you give in unatengeneza tabia ya kijinga sana na she May come back in future na record ya hiyo video.

Muahidi wamlipa atulie, kabla ujampa Nenda na hiyo video police awe arrested, watoe wajeda: 300,000 wahakikishe wana mu Harras mpaka anatoa record zote.

Ukiona mwanamke anafanya mambo ya kishenzy hivyo, lazima ana mwanaume nyuma yake anayemwongoza, acheni huu uasherati.
Huku ndio unakoweza Sio kwenye siasa. Nakubaliana na ushauri wako ila Mimi nashauri asitoe Pesa kwa Mtu yoyote, mwanaume unaogopaje??
 

Attachments

  • 20220210_085741.jpg
    20220210_085741.jpg
    28.6 KB · Views: 12
Simpi hata mia mbovu, navamia kwake na askari wa kukodi tunafuta kila kitu na maisha yanaendelea fala kweli huyo chuda
 
Back
Top Bottom