Mwambie aiachie, mkeo mwambie kuna deep fake video etc. Mtolee mfano wa Gwajima.Wakuu hii issue ni ngumu kidogo naomba tuwe serious kutoa ushauri badala ya kulaumu, shit happens sometimes!
[emoji3][emoji3][emoji3]Mwambie awe na subira untamfitie hyo pesa hap Happ tafuta vijana nikiwemo mm niongoze genge la kwenda kumtela au kum eliminate kbsa ithink elimination method itafah kwa watu wa hvyo
Kabisa ! Akimpa hiyo 1 M ataendelea kuwa mtumwa na anaweza toa ata 20M. Akatae hilo , Aende Police akamripoti ,Askari wana njia zao watamkamata- wataangalia Simu yake kutoa ushaidi wa Sms, Video na Whatsup chats watamfungulia mashitaka kama yule Mrembo Siwema aliezaa na Ney wa Mitego alie fanya kitendo kama hiki kwa mbabu mmoja hivi Mwanza. Siwema wa Nay wa Mitego Afungwa Miaka Miwili Gerezani kwa Kutishia Kusambaza Picha za Uchi za Mpenzi WakeDuuh [emoji120]Kwanzaa pole Sana kwa Hali iliyo kukuta,
Pili najua upo katika wakati mgumu Lakin is a unaweza kuwa katika wakati mgumu zaidi mana utakuwa mtumwa wa Hilo jambo unaweza mpa iyo million alafu baadae a kataka Tena zingine mana picha anazo na hujuh anazo ngap na kazi weka wap na wap.
Dawa ni ndogo tuuu mwambie azifanye a nacho taka pesa we humpi. Na kama ange kuwa nashida ya pesa bora ange omba kuliko njia alio tumia ukiingia kwenye huu mtego utakuwa mtumwa na mwsho Uta chukua maamuz magumu ya kukughrim
Ana haja ya hayo yote: Aende Police tu kumreport- police wanauwezo wa kuipekuwa simu yake Kidogital na kupata ushaidi wote na kumfungulia kesi na atafungwa. Wala asiogope chochote ashakuwa jini hilo ana haja ata ya kumkaribia tena.Kama kweli huyo demu kadhamiria basi issue imekwisha kua out of control, atakusumbua tena hata ukimpa hiyo hela
Fanya hivi
Kuanzia sasa hakikisha una record kila kitu kuanzia maongezi sms watsap nk ya vitisho vyake ili akiharibu kweli basi nayeye asipone
Anza kumremba kama unataka kukubali ili upate rekodi ya vitisho vyake vyote kisha umwambie kuwa una rekodi zake zote za vitisho na umtumie asikie kisha mwambie achague kufungwa wewe upate aibu au mambo yaishe
Lazima atakua mdogo hapo
Anza hilo zoezi mara moja
Maana wakina mwijaku walipona sababu alikosekana aliyezisambaza
Kwa vitisho vyake na demand zake utampiga pin
Wakuu hii issue ni ngumu kidogo naomba tuwe serious kutoa ushauri badala ya kulaumu, shit happens sometimes!
Hebu vaa hivi viatu kisha toa ushauri.
Una familia yako mke na watoto na una mchepuko wako, ghafla mchepuko ambao mnakwenda nao sawa muda wote unatega kamera na kuchukua tukio wakati mna vunja amri ya 6 kwenye chumba chake ulicho msaidia kulipa kodi
Baada ya hapo anakutumia clip kisha ana demand 1M la sivyo anaiuza kwa dada Mange au anaivujisha tu.
Mchepuko umekwanda mbali na kudai kama mbwai mbwai, ukimpeleka tu polisi anaiachia mitandao kwa Da Mange, yupo tayari kurisk lolote ili mradi aipate 1M.
Tafadhali mahubiri na wale wa kwanini uchepuke kaeni pembeni kwanza, majemedari wapangue hii kesi kisha mtafuata baadae.
Usiniulize kama ni mimi au la, toa ushauri tafadhali.
Deadline ni Jumatano.
Nawasilisha.
Sikiliza nikupe ushauri wa kibabe, jamaa Yangu alipatwa na msala kama huo na Binti wa NIT (mnafahamu sana), basi yule Binti akamrushia picha Moja kwanza kumuweka SAWA......dah jamaa akapaniki.Baada ya hapo anakutumia clip kisha ana demand 1M la sivyo anaiuza kwa dada Mange au anaivujisha tu.
Huku ndio unakoweza Sio kwenye siasa. Nakubaliana na ushauri wako ila Mimi nashauri asitoe Pesa kwa Mtu yoyote, mwanaume unaogopaje??Uwezo wako ni mdogo sana, Nina uhakika ningekaa na huyo Dada week 1 tu ningejua what is capable of, tabia haijifichi!
Mtu mwenye kufanya hivyo lazima ana vitabia vidogo vidogo vingi vya hovyo, sema uwezo wako ni mdogo wa kuelewa upo na mtu gani!
Ushauri:
We never negotiate with evil, if you give in unatengeneza tabia ya kijinga sana na she May come back in future na record ya hiyo video.
Muahidi wamlipa atulie, kabla ujampa Nenda na hiyo video police awe arrested, watoe wajeda: 300,000 wahakikishe wana mu Harras mpaka anatoa record zote.
Ukiona mwanamke anafanya mambo ya kishenzy hivyo, lazima ana mwanaume nyuma yake anayemwongoza, acheni huu uasherati.