chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Wachina wanatupeleka kasi kivitendo sana.
Mfumo wa alipay umesaidia sana kulipa wachina kwa haraka bila kutumia njia za kwenda benk kutrans pesa kwa njia nyengine.
Usalama ni mkubwa kwenye matumizi kama ikitokea lolote ni rahisi kupata msaada wa pesa zako.
Alipay imewezesha mfumo wa kulipa kwa alipay to alipay na alipay to benk za china zilizopo kwenye list yake.
Kwa wale wasafiri wa kwenda china matumizi ya kadi mtakuwa mumepunguza na kuanza kutumia alipay kununua kwenye maduka mbalimbali.
Naeleza ili baada kwenda benk kutrans pesa china kuwa na mirorongo mirefu.
Wakati ukitumia alipay ni chap tu.