Alipay mkombozi wa biashara kwenye malipo

Alipay mkombozi wa biashara kwenye malipo

Alipay kwa malipo MAKUBWA hapa nazungumzia mill 2 and above ukiwa bongo au china its too expensive sana maana makato yake kwenye card ya VISA etc ni makubwa sana .Bora uende kwenye Vodacom category global kulipa china kuna alipay option makato ni kidogo sanaaaaa. Kulipa supplier kupitia alipay sio guarantee ya kutotapeleliwa ndugu..Utakuja kulia kilio siku moja.
 
kiongozi ungeeleza hapa yanafanyikaje hayo malipo ya Alipay. wangapi tutaweza kufika uko ofisini kwenu.
 
kiongozi ungeeleza hapa yanafanyikaje hayo malipo ya Alipay. wangapi tutaweza kufika uko ofisini kwenu.
 
Tigopesa/Mpesa/Airtel money ni bora zaidi kwa mifumo inayo support. Rate zao ni fair na hakuna makato ya kijinga.
 
Back
Top Bottom