Nimehisi hivyo pia..Money rounding
Mkuu inafanyaje kazi hiyo Alipay? Unalipa maduka gani? Usalama wake ukoje, ela ikopotea inakuwaje? Tuwekee hizi dondoo na nyinginezo hapa kama hutajali.Wachina wanatupeleka kasi kivitendo sana.
Mfumo wa alipay umesaidia sana kulipa wachina kwa haraka bila kutumia njia za kwenda benk kutrans pesa kwa njia nyengine.
Usalama ni mkubwa kwenye matumizi kama ikitokea lolote ni rahisi kupata msaada wa pesa zako.
Alipay imewezesha mfumo wa kulipa kwa alipay to alipay na alipay to benk za china zilizopo kwenye list yake.
Kwa wale wasafiri wa kwenda china matumizi ya kadi mtakuwa mumepunguza na kuanza kutumia alipay kununua kwenye maduka mbalimbali.
Naeleza ili baada kwenda benk kutrans pesa china kuwa na mirorongo mirefu.
Wakati ukitumia alipay ni chap tu.
Wachina wameweka sheria ya kuzibiti mifumo ya pesa na ndio maana waliopo wote wachina kwenye kupokea malipo wanafatiliwa.Mkuu inafanyaje kazi hiyo Alipay? Unalipa maduka gani? Usalama wake ukoje, ela ikopotea inakuwaje? Tuwekee hizi dondoo na nyinginezo hapa kama hutajali.
ni money laundering sio money rounding. Mifumo ya kidijiti ni njia bora zaidi ya kuzuia money laundering kwa sababu ni rahisi kutrack miamala ilitoka wapi ikaenda wapi kwa urahisi unless utumie mfume ambao hauko centralized kama malipo ya sarafu mtandao.Money rounding
huu ni uvivu tu wa kufikiriMoney rounding
mkuu ukiandika kimatengo pia tutakuelwa usiforce mambo.Money rounding
Ila ina mipaka pia na kingine kuna wakati inazingua lakin ndie mkomboz kwa sasaWachina wanatupeleka kasi kivitendo sana.
Mfumo wa alipay umesaidia sana kulipa wachina kwa haraka bila kutumia njia za kwenda benk kutrans pesa kwa njia nyengine.
Usalama ni mkubwa kwenye matumizi kama ikitokea lolote ni rahisi kupata msaada wa pesa zako.
Alipay imewezesha mfumo wa kulipa kwa alipay to alipay na alipay to benk za china zilizopo kwenye list yake.
Kwa wale wasafiri wa kwenda china matumizi ya kadi mtakuwa mumepunguza na kuanza kutumia alipay kununua kwenye maduka mbalimbali.
Naeleza ili baada kwenda benk kutrans pesa china kuwa na mirorongo mirefu.
Wakati ukitumia alipay ni chap tu.
Kama una line ya vodacom na ni mtumiaji wa mpesa vida wemeweka features ya kulipa bidhaa kupitia alipay kwa kifupi kama ni mtumiaji wa huduma za visa au master card kupitia simu yako iwe voda visa au airtel mastercard (sio bank wala account yako ya bank)Mkuu inafanyaje kazi hiyo Alipay? Unalipa maduka gani? Usalama wake ukoje, ela ikopotea inakuwaje? Tuwekee hizi dondoo na nyinginezo hapa kama hutajali.
Karibu kiongozi katika ofisi yetu ya SIMBA CARGO tunasaidia wafanya biashara kufanya malipo kwa Alipay kwa haraka mno na usalam ni mkubwaNgoja niijaribu hii
Jack ma amekulipa Yuan ngapi ilikuja kuipigia promo humu ?Wachina wanatupeleka kasi kivitendo sana.
Mfumo wa alipay umesaidia sana kulipa wachina kwa haraka bila kutumia njia za kwenda benk kutrans pesa kwa njia nyengine.
Usalama ni mkubwa kwenye matumizi kama ikitokea lolote ni rahisi kupata msaada wa pesa zako.
Alipay imewezesha mfumo wa kulipa kwa alipay to alipay na alipay to benk za china zilizopo kwenye list yake.
Kwa wale wasafiri wa kwenda china matumizi ya kadi mtakuwa mumepunguza na kuanza kutumia alipay kununua kwenye maduka mbalimbali.
Naeleza ili baada kwenda benk kutrans pesa china kuwa na mirorongo mirefu.
Wakati ukitumia alipay ni chap tu.
We jamaa ni mpumbafu afu unajiona unajua! Mimi nimeandika money rounding wewe unaniletea upumbafu wako!!ni money laundering sio money rounding. Mifumo ya kidijiti ni njia bora zaidi ya kuzuia money laundering kwa sababu ni rahisi kutrack miamala ilitoka wapi ikaenda wapi kwa urahisi unless utumie mfume ambao hauko centralized kama malipo ya sarafu mtandao.
Mambo gani yamegosiwa hapo??mkuu ukiandika kimatengo pia tutakuelwa usiforce mambo.
Oli entumbafu getehuu ni uvivu tu wa kufikiri