Aliponiambia yeye na mimi basi. Nikamwambia sawa haina shida. Nlichomfanya hatonisahau kamwe

Mimi kusema kweli sina roho ya kitajiri. Halafu sikopeshi kabisa ni mambo taslimu. Huyu binti alikuja toka mkoani kusoma chuo. Tukapendana. Basi nikawa sababu mimi mzazi alikuwa anauwezo nikawa nachukua mkwanja home.

Huku na serikali inanilipia. Mzee anajua ananisomesha. Basi najibana tukachukua room. Ikawa mwaka wa mwisho tunaishi room moja. Nikanunua nua na vitu. Tv, friji na subwoofer, kitanda, taratibu taratibu nimemaliza chuo gheto likakamilika vizuri kabisa.

Basi mi nikarudi home yeye akaendelea kukaa pale sabab kwao ni mkoani namsupport kiaina. Nikapata safari ya kikazi nikafanye kituo flani miezi 6 nimshikie Manager wa pale.

Demu huku akabadilika sana. Ubusy na mambo mambo mengi. Lawama kwangu haziishi kuwa nmeenda mbali utadhani ana mtu yupo vitani. Kabaki mpweke. Ugomvi ukawa kila mara. Anatafuta tu sababu tusiongee n.k nikajua tu tatizo nini.

Siku moja akaniambia ameona mimi na yeye hatuwezi endelea tusitishe mahusiano. Nikamwambia tu sawa. Haina shida. Nikamfuatilia rafiki yake akasema ni kweli Fatma ana boyfriend mwingine anafanya kazi ..... Ndo maana amechange sana. Nikamuuliza anaishi pale pale. Akasema. Yes. That time nilimpangia room master bedroom na sebule. Makongo juu.

Basi nikaomba ruhusa kazini weekend mimi huyo Dar. Nikamuuliza rafikiye ndo alikuwa ana ni update akaniambia Jumamosi kashaambiwa Fatty anaenda na Fred Bagamoyo.

Basi kweli akaniambia wametoka. Mi nikaenda zangu kule Home Ghetto kwa demu. Nikaingia maana funguo nlikuwa nayo na ninafahamika. Nliingia ndani. Nikapasua kioo cha tv nikavuta zile nyaya ndani. Nikamwagia na maji. Ikawa haifai hata kwa spare.

Fridge nayo nikaitoboa toboa. Kule nyuma kwenye mtungi na umeme nikavuruga sana nikamwagia na maji asiuze hata spare. Nikakusanya chupi nikazitia moto. Kulikuwa na mpangaji mmoja ile compound maana jumla tulikuwa wapangaji wa 3 ila vijana. Hakuna mwenye watoto. Huyu mmoja kuniona akashtuka nini shem... Nikamwambia nafanya usafi. Muda huo nachoma moto chupi na nguo ambazo nilimnunulia.

Nikakata kata godoro, nikachana mapazia. Nguo zake ambazo alinunua kwa nguo zake. Sikugusa. Viatu nikavikata kata. Kabata la mchina nlilipasua pasua. Microwave nikaipasua. Kiasi isingefaa tena.

Basi nikawa nmeridhika. Nikachukua yale mashuka nikapooo juu yake na kufikicha kila kuta ili ile nyumba asiwe na hamu nayo tena kwenye vyombo vile vile nikachafua. Kiukweli siku hiyo sikuwa vizuri mentally. Nliwaza sana jinsi ambavyo i did kila nlichoweza for her. Then kanigeuka?

Basi nlipomaliza nikafunga mlango nikaenda mpa funguo jirani yule kuwa Fatty akirudi amkabidhi. Nikarudi home kisha kesho yake nikawa narudi mkoa ili Jumatatu niwe kazini.

Alianza piga simu jumapili saa 3 usiku. Nikawa sipokei. Alipiga sana. Akaanza tuma msg za kutukana.. kuwa hajawahi ona mwanaume mshenzi, mchawi na shetani kama mimi. Na akasema ameshindwa lala mle ndani nmekunya nyumba nzima inanuka na mashuka nguo zake, vyombo vina choo.

Jamaa alimwacha the same night. Akasema hawezi endelea na demu kama alikuwa na mwanaume wa aina yangu. Demu alinitafuta week nzima anasema aje tuyaongee yaishe. Kipindi hicho anaishi kwa rafikiye. Kama kachanganyikiwa. Rafikiye ananipigia simu anasema shemu umemfanya nini Fatty. Anakunywa pombe masaa 24 amechanganyikiwa.

Akaanza tuma msg za nimsamehe.... Anataka aje tuyajenge. Nikamwambia aje akope nauli. Alikopa. Siku amekuja nikazima simu. Nlikuja washa kesho yake.... Demu ameandika analia mpaka basi. Nikamwambia aendelee kutumia kipapiro chake kuishi. Atapata wanaume watamsaidia kumrudisha Dar na kumlisha.

Mpaka leo bidada hajaolewa ana manga manga tu na sura imeshamshuka mbwa yule. Nilimlaani sana na amelaanika. Huwezi mdhania Fatma ndo yeye. Amekuwa mlevi mbwa na msongo wa mawazo.

Mimi sikopeshi. Kama nlikununulia kitu sababu ya mapenzi yakiisha utarudisha vyangu. Na vyako ntakurudishia. Sitokudhulumu. Ndo maisha ninayopenda. Kila mtu afe na chake.
Hiyo ndo maana sahihi ya ule msemo wa kila ubaya utalipwa kwa ubaya tu.

Hongera sana Chizi Maarifa
 
Unastahili kuwahi Mirembe kabla ya mambo hayajaharibika zaidi.....
 
Hapo ulipokunya chumba kizima umenifurahisha sana maana najua watu kama nyinyi mnaopitia rough road mnatoa mavi laini kama topetope lazma achanganikiwe tu huyo jamaa alokua anamla fatma maana kapata mashaka fatma naww mlikua mnafanyana zamuzamu kwa strip on dildo
 
nikiwa mkubwa nataka kua kama wewe.
 
Sijui Kwa Nini hawa watu Huwa wako hivo, huwezi kula vya mwanaume alafu umuache kirahisi hivyo, ndo mana mapito ya wao wengi hua yanafikirisha sana. Unakita singo Maza anateseka weeee, kumbe laana za kula vya watu
Huwa wanadhani wanaume hatuumii au ni sawa tu akutumie akipata mpya ana kudump. Wengi wameteseka kwa kuachwa na wanawake waliowapenda.
 
Wanawake Bwana sasa alishani huyo Bro Mpya atamuoaz hata bila huo mgogoro wa kuachwa na ChiziMaaridlfa huyo Bwana alikuwa anakupigia Tu asepe.

Mwanaume huwa haowi Mwanamke ambaye anajilia bure

Yule demu alidanganyika na mitoko ya kila weekend akaona amepata.
 
Huwa wanadhani wanaume hatuumii au ni sawa tu akutumie akipata mpya ana kudump. Wengi wameteseka kwa kuachwa na wanawake waliowapenda.
Vijana wa kiume wengi waliokosa muelekeo mtaani, asilimia kubwa mapenzi fake ya hawa mabinti yamewarostisha, unakuta pesa ambayo kijana angefanyia biashara anamhonga demu, wengine wanafeli masomo mwishowe anapigwa chini, ana dondokea kwenye dimbwi la ulevi na usela
 
Hapo ulipokunya chumba kizima umenifurahisha sana maana najua watu kama nyinyi mnaopitia rough road mnatoa mavi laini kama topetope lazma achanganikiwe tu huyo jamaa alokua anamla fatma maana kapata mashaka fatma naww mlikua mnafanyana zamuzamu kwa strip on dildo

***** la JF linatafuta kupigwa na mshobobo wa Chizi Maarifa. Bahati mbaya Chizi situmii michoko. Ndo maana umesuka ili uonekane kama demu. Kashinde kwa mumeo.
 
Vijana wa kiume wengi waliokosa muelekeo mtaani, asilimia kubwa mapenzi fake ya hawa mabinti yamewarostisha, unakuta pesa ambayo kijana angefanyia biashara anamhonga demu, wengine wanafeli masomo mwishowe anapigwa chini, ana dondokea kwenye dimbwi la ulevi na usela

Kabisa. Habari hizo ndo sitaki kabisa. Ubwege huo. Nlipomfanyia hivyo huyo demu nlisikia amani mpaka leo nikikutana naye ananionea aibu amechoka.... Anatafuta muda eti tukae tuongee. Ana watoto 3 wawili baba tofauti. Kachooooka mbwa. Shape imepotea tumbo kama ana mimba...
 
Kesha chakazwa huko ndo anataka muongee, alafu ukikutana nae usimkasirikie ataona huja move on, ukimuona Cheka furahi mpe heshima yake temana nae, ataumia balaaa yani roho Huwa zinauma yani dah
 
***** la JF linatafuta kupigwa na mshobobo wa Chizi Maarifa. Bahati mbaya Chizi situmii michoko. Ndo maana umesuka ili uonekane kama demu. Kashinde kwa mumeo.
Nipe namba za fatma nmuulze kuhusu hiyo atita yako ulokunya chumba kizma ipoje?
 
Mimi kusema kweli sina roho ya kitajiri. Halafu sikopeshi kabisa ni mambo taslimu. Huyu binti alikuja toka mkoani kusoma chuo. Tukapendana. Basi nikawa sababu mimi mzazi alikuwa anauwezo nikawa nachukua mkwanja home.

Huku na serikali inanilipia. Mzee anajua ananisomesha. Basi najibana tukachukua room. Ikawa mwaka wa mwisho tunaishi room moja. Nikanunua nua na vitu. Tv, friji na subwoofer, kitanda, taratibu taratibu nimemaliza chuo gheto likakamilika vizuri kabisa.

Basi mi nikarudi home yeye akaendelea kukaa pale sabab kwao ni mkoani namsupport kiaina. Nikapata safari ya kikazi nikafanye kituo flani miezi 6 nimshikie Manager wa pale.

Demu huku akabadilika sana. Ubusy na mambo mambo mengi. Lawama kwangu haziishi kuwa nmeenda mbali utadhani ana mtu yupo vitani. Kabaki mpweke. Ugomvi ukawa kila mara. Anatafuta tu sababu tusiongee n.k nikajua tu tatizo nini.

Siku moja akaniambia ameona mimi na yeye hatuwezi endelea tusitishe mahusiano. Nikamwambia tu sawa. Haina shida. Nikamfuatilia rafiki yake akasema ni kweli Fatma ana boyfriend mwingine anafanya kazi ..... Ndo maana amechange sana. Nikamuuliza anaishi pale pale. Akasema. Yes. That time nilimpangia room master bedroom na sebule. Makongo juu.

Basi nikaomba ruhusa kazini weekend mimi huyo Dar. Nikamuuliza rafikiye ndo alikuwa ana ni update akaniambia Jumamosi kashaambiwa Fatty anaenda na Fred Bagamoyo.

Basi kweli akaniambia wametoka. Mi nikaenda zangu kule Home Ghetto kwa demu. Nikaingia maana funguo nlikuwa nayo na ninafahamika. Nliingia ndani. Nikapasua kioo cha tv nikavuta zile nyaya ndani. Nikamwagia na maji. Ikawa haifai hata kwa spare.

Fridge nayo nikaitoboa toboa. Kule nyuma kwenye mtungi na umeme nikavuruga sana nikamwagia na maji asiuze hata spare. Nikakusanya chupi nikazitia moto. Kulikuwa na mpangaji mmoja ile compound maana jumla tulikuwa wapangaji wa 3 ila vijana. Hakuna mwenye watoto. Huyu mmoja kuniona akashtuka nini shem... Nikamwambia nafanya usafi. Muda huo nachoma moto chupi na nguo ambazo nilimnunulia.

Nikakata kata godoro, nikachana mapazia. Nguo zake ambazo alinunua kwa nguo zake. Sikugusa. Viatu nikavikata kata. Kabata la mchina nlilipasua pasua. Microwave nikaipasua. Kiasi isingefaa tena.

Basi nikawa nmeridhika. Nikachukua yale mashuka nikapooo juu yake na kufikicha kila kuta ili ile nyumba asiwe na hamu nayo tena kwenye vyombo vile vile nikachafua. Kiukweli siku hiyo sikuwa vizuri mentally. Nliwaza sana jinsi ambavyo i did kila nlichoweza for her. Then kanigeuka?

Basi nlipomaliza nikafunga mlango nikaenda mpa funguo jirani yule kuwa Fatty akirudi amkabidhi. Nikarudi home kisha kesho yake nikawa narudi mkoa ili Jumatatu niwe kazini.

Alianza piga simu jumapili saa 3 usiku. Nikawa sipokei. Alipiga sana. Akaanza tuma msg za kutukana.. kuwa hajawahi ona mwanaume mshenzi, mchawi na shetani kama mimi. Na akasema ameshindwa lala mle ndani nmekunya nyumba nzima inanuka na mashuka nguo zake, vyombo vina choo.

Jamaa alimwacha the same night. Akasema hawezi endelea na demu kama alikuwa na mwanaume wa aina yangu. Demu alinitafuta week nzima anasema aje tuyaongee yaishe. Kipindi hicho anaishi kwa rafikiye. Kama kachanganyikiwa. Rafikiye ananipigia simu anasema shemu umemfanya nini Fatty. Anakunywa pombe masaa 24 amechanganyikiwa.

Akaanza tuma msg za nimsamehe.... Anataka aje tuyajenge. Nikamwambia aje akope nauli. Alikopa. Siku amekuja nikazima simu. Nlikuja washa kesho yake.... Demu ameandika analia mpaka basi. Nikamwambia aendelee kutumia kipapiro chake kuishi. Atapata wanaume watamsaidia kumrudisha Dar na kumlisha.

Mpaka leo bidada hajaolewa ana manga manga tu na sura imeshamshuka mbwa yule. Nilimlaani sana na amelaanika. Huwezi mdhania Fatma ndo yeye. Amekuwa mlevi mbwa na msongo wa mawazo.

Mimi sikopeshi. Kama nlikununulia kitu sababu ya mapenzi yakiisha utarudisha vyangu. Na vyako ntakurudishia. Sitokudhulumu. Ndo maisha ninayopenda. Kila mtu afe na chake.
Utoto unakusumbua big time.
 
Back
Top Bottom