Aliponiambia yeye na mimi basi. Nikamwambia sawa haina shida. Nlichomfanya hatonisahau kamwe

Hiyo ndo maana sahihi ya ule msemo wa kila ubaya utalipwa kwa ubaya tu.

Hongera sana Chizi Maarifa
 
Unastahili kuwahi Mirembe kabla ya mambo hayajaharibika zaidi.....
 
Hapo ulipokunya chumba kizima umenifurahisha sana maana najua watu kama nyinyi mnaopitia rough road mnatoa mavi laini kama topetope lazma achanganikiwe tu huyo jamaa alokua anamla fatma maana kapata mashaka fatma naww mlikua mnafanyana zamuzamu kwa strip on dildo
 
nikiwa mkubwa nataka kua kama wewe.
 
Sijui Kwa Nini hawa watu Huwa wako hivo, huwezi kula vya mwanaume alafu umuache kirahisi hivyo, ndo mana mapito ya wao wengi hua yanafikirisha sana. Unakita singo Maza anateseka weeee, kumbe laana za kula vya watu
Huwa wanadhani wanaume hatuumii au ni sawa tu akutumie akipata mpya ana kudump. Wengi wameteseka kwa kuachwa na wanawake waliowapenda.
 
Wanawake Bwana sasa alishani huyo Bro Mpya atamuoaz hata bila huo mgogoro wa kuachwa na ChiziMaaridlfa huyo Bwana alikuwa anakupigia Tu asepe.

Mwanaume huwa haowi Mwanamke ambaye anajilia bure

Yule demu alidanganyika na mitoko ya kila weekend akaona amepata.
 
Huwa wanadhani wanaume hatuumii au ni sawa tu akutumie akipata mpya ana kudump. Wengi wameteseka kwa kuachwa na wanawake waliowapenda.
Vijana wa kiume wengi waliokosa muelekeo mtaani, asilimia kubwa mapenzi fake ya hawa mabinti yamewarostisha, unakuta pesa ambayo kijana angefanyia biashara anamhonga demu, wengine wanafeli masomo mwishowe anapigwa chini, ana dondokea kwenye dimbwi la ulevi na usela
 

***** la JF linatafuta kupigwa na mshobobo wa Chizi Maarifa. Bahati mbaya Chizi situmii michoko. Ndo maana umesuka ili uonekane kama demu. Kashinde kwa mumeo.
 

Kabisa. Habari hizo ndo sitaki kabisa. Ubwege huo. Nlipomfanyia hivyo huyo demu nlisikia amani mpaka leo nikikutana naye ananionea aibu amechoka.... Anatafuta muda eti tukae tuongee. Ana watoto 3 wawili baba tofauti. Kachooooka mbwa. Shape imepotea tumbo kama ana mimba...
 
Kesha chakazwa huko ndo anataka muongee, alafu ukikutana nae usimkasirikie ataona huja move on, ukimuona Cheka furahi mpe heshima yake temana nae, ataumia balaaa yani roho Huwa zinauma yani dah
 
***** la JF linatafuta kupigwa na mshobobo wa Chizi Maarifa. Bahati mbaya Chizi situmii michoko. Ndo maana umesuka ili uonekane kama demu. Kashinde kwa mumeo.
Nipe namba za fatma nmuulze kuhusu hiyo atita yako ulokunya chumba kizma ipoje?
 
Utoto unakusumbua big time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…