Aliponiambia yeye na mimi basi. Nikamwambia sawa haina shida. Nlichomfanya hatonisahau kamwe

Kesha chakazwa huko ndo anataka muongee, alafu ukikutana nae usimkasirikie ataona huja move on, ukimuona Cheka furahi mpe heshima yake temana nae, ataumia balaaa yani roho Huwa zinauma yani dah

Nakutana naye sana. Mi huwa nachangamka sana yeye ndo anaona aibu na kunikwepa. Nikimwona kwa mbali namwita na nimeshawahi simama nimpe lift akasema haendi nakoenda nikamuuliaza anaenda wapi akataka nikamwambia ntampeleka. Anateseka sana moyoni. Sometimes namwonea huruma.
 
👍Safi ila kua nae makini, hao Huwa wabaya anaweza hata kukuroga, ishi nae fair ila isiwe so close sana
 
Duu! Hii ni maajabu sijawahi sikia popote 🙄🤔
 
Si ungechukua mali zako, kuharibu si ni kujitia hasara huko?
 
Kama ni kweli nakupongeza. Ila siku nyingine jitahidi uchukue nywele, kucha na nguo yake ya ndani uhifadhi. Siku akizingua unamalizana naye kimila badala ya wewe kwenda kunya kwenye mashuka.
Anamshughulikia kinyumbani.
 
Kila nikifikiria vijana na mapenzi haya huyo binti namba yake iko wapi
 
Wee ndo kidume kweli, wewe lazma huwa unahuziria vikao vya wanaume.

Wanaume wote wangekuwa hivi wanawake wote wangekuwa na heshima na adab na wasingetaka fifty - 50
 
Adui muombee njaa ndio hii. Ila yako imezidi kaka
 
Kumbe wewe nawe unatabia za Kishoga kama Kaka yako, Dooooo. Kweli chizi ni chizi tu.
 
ulikua sahihi tu ilimrad haukumdhuru mwili wake !.

haukukosea lamhim kama ulisafishika moyo wako inatosha.

unajitolea kumjali kwa uwezo wako wote lenyewe halijali.

inaumaga sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…