Aliponiambia yeye na mimi basi. Nikamwambia sawa haina shida. Nlichomfanya hatonisahau kamwe

ulikua sahihi tu ilimrad haukumdhuru mwili wake !.

haukukosea lamhim kama ulisafishika moyo wako inatosha.

unajitolea kumjali kwa uwezo wako wote lenyewe halijali.

inaumaga sana.
 
Chai
 
Yote uliyofanya tisa,kumi ni kunya nyumba nzima,waama ulikusanya mavi haswaaa ya kutosha nyumba nzima
 
Bado kuna kitu hakipo sawa
 
ulikua sahihi tu ilimrad haukumdhuru mwili wake !.

haukukosea lamhim kama ulisafishika moyo wako inatosha.

unajitolea kumjali kwa uwezo wako wote lenyewe halijali.

inaumaga sana.

Sana. Huwa wanaamini wanaume hawana mioyo ni kama masanamu tu
 
Safi kabisa hili suala naliunga mkono, na Tena hiyo nyumba uliyokua umempangia lingekua linasoma jina lako kwenye mkataba wa upangaji, ili kama angeenda police kulalamika kua amefanyiwa fujo kwake, ungewaonyesha mkataba wa upangaji unasoma jina la nani ! Ndo atajua ni kwake au kwako!πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Brotherhood is proud of you
 

Kwa sasa demu nampangia chumba ambacho kinasoma jina langu. Tena naenda kutafuta na kuingia mkataba nikiwa alone. Akizungua tu namfukuza na nguo zake tu sababu hata anapoanza kununua vitu ntakuwa naenda kuhakikisha mimi ndo navileta home. Siku nikimfukuza anaacha kila kitu home anaondoka na nguo zake tu.
 
Chizi maarifa on the track.

Hawa ndio aina ya watu wanaoongozwa na samia.

Baba mtakatifu91
 
Hii sasa ndo REVENGE ukisikia revenge hii KIBOKOπŸ«‘πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Mwenetu hujakosea kujiita chiziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
sema u
sema kuna sehemu umetufunga kamba kamba ndugu yetu

umesema umekunya chumba kizima na mpaka vyombo vyote vimejaa choo tupu

sasa ebu tueleze wewe ni gari lile la nyonya mavi lenye uwezo wa kubeba tank zima la mavi?

pia kwa mkund. gani huo ulionao wa kuweza kunya hivyo?
 
Alaaniwe alieanzisha kauli ya ubaya ubwela, we jamaa umeharisha nyumba nzima. Umekunya nyumba nzima daaah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Dunia Ina watu wa hovyoo sanaaaa
 
Umeniacha hoi,ulivyo jisaidia kwenyee mashuka mmmh
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…