Aliponiambia yeye na mimi basi. Nikamwambia sawa haina shida. Nlichomfanya hatonisahau kamwe


Elewa mtu kusambaza uchafu chumbani unapaka tu kutani na sehemu kadhaa
 
Basi wewe ungepewa bunduki 29 ungemaliza wote ubaki pekeako
 
Ulichofanya sio sahihi, na pia sio sahihi zaidi kwamba unajivunia ulichofanya, unajivunia kuona mwenzako anaharibikiwa, hii dalili ya mtu mwenye elements za ukatili wa kijinsia, ni dalili za changamoto ya afya ya akili, dalili za mtu mwenye tatizo la kiakili linaitwa narcissistic personality

Kutoboa Tv, kutoa kinyesi, nk yote haya kisa mtu ameonesha moyo wake hautaki kuwa na wewe au kwasababu ya vitu ulivyonunua?! Kulikuwa na shida gani kumwambia akurudishie vitu vyako na kila mtu aendelee na hamsini zake? Halafu kibaya zaidi bado unamfuatilia kujua anaendeleaje!? Umpe lifti ili iweje!? Umpeleke wapi?

Just imagine, huyu binti angekuwa ndio dada yako au binti yako amefanyiwa hivi na mwanaume wake, wewe ungejisikiaje!?

Katika mahusiano kuna kupendana na mtu akichoka kwa nini umkasirikie kiasi hicho

Ni suala la muda ulimwengu nao utakupatia stahiki zako kama malipo ya ulichomfanyia binti

Hii haikuwa sawa kabisa na usifanye tena kitu kama hiki kwa mwingine
 

Sihitaji mtu aniambie cha kufanya kwenye issues zangu. Mimi nimefanya sahihi na nliridhika sana na naendelea vizuri. Sikumuua wala sikujiua. Vitu ni vyangu nlitumia nlivyotaka. Hata kuharibu vitu vyangu si kosa. NI VYANGU
 
Na mtu mwingine akitokea akajichanganya ntamchanganya zaidi
 
Najiuliza Mavi ya kunya Nyumba nzima uliyatoa wapi??

Ila Mungu ana wengi hata ww n wake🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…