Ni kijana mdogo tunafahamiana kazini, Hunitazamia kama kaka yake na pindi anapokuwa kwenye changamoto kadhaa za kimaisha hupenda kunishirikisha
Kijana kaoa binti nisingependa kulitaja kabila lake ili kupunguza negatiive stereotype za makabila
Ninaposema streotype ni tabia inayowapa kundi flani umaarufu kwa kukizidi kiwango kilichozoeleka, Mfano ulevi kiwango kilichozoeleka kwenye makabila ni walevi wawili katika kila watu 10 lakini kuna makabila kuna walevi mpaka wanne kwenye watu 10, haimaanishi kabila hilo wote ni walevi lakini watasifika kwa ulevi.
Sasa tukirejea kwa huyu bwana mdogo, Ni kwamba ndugu wamekuwa wanajazana mno nyumbani kwao, Mbaya zaidi wengine wanakuja kwa kupishana leo anaondoka flani asubuhi, baada ya muda mfupi mwengine anafika,
Kijana analalamika haikuwa hivyo uchumbani lakini kaanza kuyaona baada ya ndoa, kwake imekuwa kero kwasababu ni mtu asiependa kampani ya watu wengi anapokuwa nyumbani,
Analalamika unajua sikutegemea haya, Privacy imepotea, Ndugu wa mke wanaharibu ratiba, wanaharibu bajeti, hawachangii matumizi, wamemshika mke kichwa, n.k.
Kuwachana live ndugu wa mke sio jambo rahisi, Akimwambia mke awaambie anasema wao ndio maisha yao hawezi.
Mwisho kabisa nimempa wazo la mkakati kabambe wa kutokomeza kijiji kistaarabu kabisa, Kuwa target kwa kutumia udhaifu wao, hawapendi kujishughulisha, hivyo wasichopenda ni kazi na ndicho watachopewa
Nilipomuuliza ni vipi hakutegemea hayo wakati kaoa binti wa kabila husika jibu lake liliniacha hoi, kwamba alidhani siku hizi mambo hayo yalishapitwa na wakati na binti aliemuoa ni msomi wote wamefika chuo.
Nitoe rai kwa vijana wengine, msipuuze haya mambo, mfano ukiambiwa kabila flani ni wasumbufu ukikosa pesa, kabila flani hawapendi nyumba iwe na ndugu wa mume, kabila flan wanajazana, n.k. usikatae moja kwa moja fanya uchunguzi. Kama ilivyo sifa ya sisi watanzania kuwa waoga haimaanishi ni wote ila ukitekwa tegemea kukosa msaada wa wapita njia, basi jua kila kabila lina kitu unique ambacho kinawatofautisha na makabila mengine.