OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kama sio, basi Muha. Waha wanapenda kujazana sanaDemu atakuwa mnyakyusa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama sio, basi Muha. Waha wanapenda kujazana sanaDemu atakuwa mnyakyusa
Vijana wa siku wana matatizo, km wazee wetu kina Mkapa, Warioba, Sumaye na wengine wengi wameoa makabila tofauti na ya kwao kwanini sahivi? Haya mambo ya ubaguzi wa kikabila na kikanda ulianza wakati wa Magu. Yule msukuma ametuharibia nchi.Zamani ishu ya makabila ilikuwa na maana Sana Ila sasa hivi mambo yamebadilika. Ukioa Kwa kuangalia kabila, utakwama. Chunguza tabia za mhusika na maisha ya wazazi wake kama hawapo angalia ndugu zake wa karibu.
Maisha ya kwenda kukaa Kwa mtu bila shughuli yoyote ni ufenenge Sana.
Ndo natafuta mke 😎Kumbe hajaingia chamani hata🤣
Akae kwa kutuliaNi kijana mdogo tunafahamiana kazini, Hunitazamia kama kaka yake na pindi anapokuwa kwenye changamoto kadhaa za kimaisha hupenda kunishirikisha
Kijana kaoa binti nisingependa kulitaja kabila ili kupunguza presha kwa wenye kabila lao
Ni kwamba ndugu wamekuwa wanajazana mno nyumbani kwao, Mbaya zaidi wengine wanakuja kwa kupishana leo anaondoka flani asubuhi, baada ya muda mfupi mwengine anafika,
Kijana analalamika haikuwa hivyo uchumbani lakini kaanza kuyaona baada ya ndoa, kwake imekuwa kero kwasababu ni mtu asiependa kampani ya watu wengi, hupenda mazingira ya anayoishi yawe tulivu na watu wachache
kinachomkera zaidi ni Privacy ya nyumba imepungua, ratiba zake na mke wake sometimes zinaingiliwa.
Nilipomuuliza ni vipi hakutegemea hayo wakati kaoa binti wa kabila husika jibu lake liliniacha hoi, kwamba alidhani siku hizi mambo hayo yalishapitwa na wakati na binti aliemuoa ni msomi wote wamefika chuo.
Nitoe rai kwa vijana wengine, msipuuze haya mambo, mfano ukiambiwa kabila flani ni wasumbufu ukikosa pesa, kabila flani hawapendi nyumba iwe na ndugu wa mume, kabila flan wanajazana, n.k. usikatae moja kwa moja fanya uchunguzi. Kama ilivyo sifa ya sisi watanzania kuwa waoga haimaanishi ni wote ila ukitekwa tegemea kukosa msaada wa wapita njia, basi jua kila kabila lina kitu unique ambacho kinawatofautisha na makabila mengine.
Kukataa wageni nidalili ya umasikini.Wasakuma,waha,wanyakyusa,wazaramo bila kuwasahau ndugu zetu wapemba aise ukioa hayamakabila kazi unayo
Hasahasa wasukuma tenq ukiwa mjini wanakuja kama saba hivi tena wanabebana na majamaa zao wanakuja kukaa hata wiki.
Na wanapeleka msosi ni balaa.
Mrangi?Makabila sio ya kupuuza na ukitaka uinjoi oa mrangi,mpare au mu Arusha itakuwa ni maisha ya Raha sana
Na wanapenda kazi pia, hakuna Muha anapenda kukaa bila kazi. Kama wanajazana tumia hio furusa kuwaanzishia biashara ya vyombo uwape wakauze. Wajikwamue nao kimaisha.Kama sio, basi Muha. Waha wanapenda kujazana sana
Magufuli alisingiziwa mambo mengi sana.Nimelia sana 😭
Kinondoni hakuna mashambaKama nyomi inajaa mbona hyo ni fursa mkuu, wape dona halafu Kila kukikucha ni shambani halafu no excuse mvivu hakai kwangu, final watakimbia wote.
🤣Ila mdomo sasa🤭Kumbe hajaingia chamani hata🤣
😳Magufuli alisingiziwa mambo mengi sana.
Anzisha biashara ya mayai, asubuhi kil mtu mpe trey mbili , arudi akiwa amezimaliza. Hutokaa uone wageni kwako.Kinondoni hakuna mashamba
Kama yapi mfanoMagufuli alisingiziwa mambo mengi sana
Kaka yangu alioa mpare. Ilikua wakija ndugu zake basi wanapewa kazi. Mdogo wake wa kiume akawa kazi yake garden na kuangalia ng'ombe, mdogo wake wa kike ilikua ndio kazi zote za pale nyumbani kama housegirl. Kwakweli nilikua naona ajabu sana. Sisi ndio lile kabila kila siku nyumba imejaa magodoro yanatandikwa mpaka sebuleniMakabila sio ya kupuuza na ukitaka uinjoi oa mrangi,mpare au mu Arusha itakuwa ni maisha ya Raha sana
Tulishaacha hizo tabia za kuhamia ila Mali zako lazima tutambie popote tutakapokuwa ,haiwezekani shemeji ana eicher ya mbagala to mabwe pande ipite nipo na wanangu nishindwe kusema gari letu na shemeji hiloNdugu kujazana ni ishara ya umaskini. Uzaramoni, upembani wanahamia mazima na wanatamba kucha kutwa kama mali zao vile. Na kazi zingine hawfanyi
Baba mkwe,mjomba shangazi utawafanyisha hiyo biashara kweli?Anzisha biashara ya mayai, asubuhi kil mtu mpe trey mbili , arudi akiwa amezimaliza. Hutokaa uone wageni kwako.
Pole mkuu.Baba mkwe,mjomba shangazi utawafanyisha hiyo biashara kweli?
Ndivyo na mimi niliingia mtego kwa kabila moja la kanda ya ziwa ila nikilitaja jina wasukuma/wanyantuzu watachukia ila hata mwaka haujaisha anaanza kuniuliza napokea mshahara shilingi ngapi kwa mwezi, binti ana hasira sana ilifikia kipindi anarusha ngumi kutaka kunipiga,anataka kumleta mtoto mdogo wa baba yake nyumbani kwangu hapo tunaishi chumba kimoja,nilimuondosha aiseeNi kijana mdogo tunafahamiana kazini, Hunitazamia kama kaka yake na pindi anapokuwa kwenye changamoto kadhaa za kimaisha hupenda kunishirikisha
Kijana kaoa binti nisingependa kulitaja kabila ili kupunguza presha kwa wenye kabila lao
Ni kwamba ndugu wamekuwa wanajazana mno nyumbani kwao, Mbaya zaidi wengine wanakuja kwa kupishana leo anaondoka flani asubuhi, baada ya muda mfupi mwengine anafika,
Kijana analalamika haikuwa hivyo uchumbani lakini kaanza kuyaona baada ya ndoa, kwake imekuwa kero kwasababu ni mtu asiependa kampani ya watu wengi anapokuwa nyumbani,
Analalamika unajua sikutegemea haya, Privacy imepotea, Ndugu wa mke wanaharibu ratiba, wanaharibu bajeti, hawachangii matumizi, wamemshika mke kichwa, n.k.
Kuwachana live ndugu wa mke sio jambo rahisi, Akimwambia mke awaambie anasema wao ndio maisha yao hawezi.
Nilichomshauri ni kwamba ashughulike na udhaifu wao, hawapendi kujishughulishi kwa hio atafute mbinu ya kuwashughulisha mfano msimu huu mvua zinaanza mashamba ni wazo zuri, kuna kulima kwa jembe la mkono, kupalilia, kusafisha shamba, n.k.
Nilipomuuliza ni vipi hakutegemea hayo wakati kaoa binti wa kabila husika jibu lake liliniacha hoi, kwamba alidhani siku hizi mambo hayo yalishapitwa na wakati na binti aliemuoa ni msomi wote wamefika chuo.
Nitoe rai kwa vijana wengine, msipuuze haya mambo, mfano ukiambiwa kabila flani ni wasumbufu ukikosa pesa, kabila flani hawapendi nyumba iwe na ndugu wa mume, kabila flan wanajazana, n.k. usikatae moja kwa moja fanya uchunguzi. Kama ilivyo sifa ya sisi watanzania kuwa waoga haimaanishi ni wote ila ukitekwa tegemea kukosa msaada wa wapita njia, basi jua kila kabila lina kitu unique ambacho kinawatofautisha na makabila mengine.
Mkapa kwao hata kibanda cha kueleweka hajajenga ila nenda moshi alivyoshusha mijengo kwa mke wakeVijana wa siku wana matatizo, km wazee wetu kina Mkapa, Warioba, Sumaye na wengine wengi wameoa makabila tofauti na ya kwao kwanini sahivi? Haya mambo ya ubaguzi wa kikabila na kikanda ulianza wakati wa Magu. Yule msukuma ametuharibia nchi.