Alipuuza kuchunguza tabia za kabila uchumbani kwa kuamini ni mambo ya kale, Baada ya ndoa analalamika nyumba imekosa Privacy

Alipuuza kuchunguza tabia za kabila uchumbani kwa kuamini ni mambo ya kale, Baada ya ndoa analalamika nyumba imekosa Privacy

Zamani ishu ya makabila ilikuwa na maana Sana Ila sasa hivi mambo yamebadilika. Ukioa Kwa kuangalia kabila, utakwama. Chunguza tabia za mhusika na maisha ya wazazi wake kama hawapo angalia ndugu zake wa karibu.
Maisha ya kwenda kukaa Kwa mtu bila shughuli yoyote ni ufenenge Sana.
Vijana wa siku wana matatizo, km wazee wetu kina Mkapa, Warioba, Sumaye na wengine wengi wameoa makabila tofauti na ya kwao kwanini sahivi? Haya mambo ya ubaguzi wa kikabila na kikanda ulianza wakati wa Magu. Yule msukuma ametuharibia nchi.
 
Ni kijana mdogo tunafahamiana kazini, Hunitazamia kama kaka yake na pindi anapokuwa kwenye changamoto kadhaa za kimaisha hupenda kunishirikisha

Kijana kaoa binti nisingependa kulitaja kabila ili kupunguza presha kwa wenye kabila lao

Ni kwamba ndugu wamekuwa wanajazana mno nyumbani kwao, Mbaya zaidi wengine wanakuja kwa kupishana leo anaondoka flani asubuhi, baada ya muda mfupi mwengine anafika,

Kijana analalamika haikuwa hivyo uchumbani lakini kaanza kuyaona baada ya ndoa, kwake imekuwa kero kwasababu ni mtu asiependa kampani ya watu wengi, hupenda mazingira ya anayoishi yawe tulivu na watu wachache

kinachomkera zaidi ni Privacy ya nyumba imepungua, ratiba zake na mke wake sometimes zinaingiliwa.

Nilipomuuliza ni vipi hakutegemea hayo wakati kaoa binti wa kabila husika jibu lake liliniacha hoi, kwamba alidhani siku hizi mambo hayo yalishapitwa na wakati na binti aliemuoa ni msomi wote wamefika chuo.

Nitoe rai kwa vijana wengine, msipuuze haya mambo, mfano ukiambiwa kabila flani ni wasumbufu ukikosa pesa, kabila flani hawapendi nyumba iwe na ndugu wa mume, kabila flan wanajazana, n.k. usikatae moja kwa moja fanya uchunguzi. Kama ilivyo sifa ya sisi watanzania kuwa waoga haimaanishi ni wote ila ukitekwa tegemea kukosa msaada wa wapita njia, basi jua kila kabila lina kitu unique ambacho kinawatofautisha na makabila mengine.
Akae kwa kutulia

Asiyesikia la mkuu....
 
Makabila sio ya kupuuza na ukitaka uinjoi oa mrangi,mpare au mu Arusha itakuwa ni maisha ya Raha sana
Kaka yangu alioa mpare. Ilikua wakija ndugu zake basi wanapewa kazi. Mdogo wake wa kiume akawa kazi yake garden na kuangalia ng'ombe, mdogo wake wa kike ilikua ndio kazi zote za pale nyumbani kama housegirl. Kwakweli nilikua naona ajabu sana. Sisi ndio lile kabila kila siku nyumba imejaa magodoro yanatandikwa mpaka sebuleni
 
Ndugu kujazana ni ishara ya umaskini. Uzaramoni, upembani wanahamia mazima na wanatamba kucha kutwa kama mali zao vile. Na kazi zingine hawfanyi
Tulishaacha hizo tabia za kuhamia ila Mali zako lazima tutambie popote tutakapokuwa ,haiwezekani shemeji ana eicher ya mbagala to mabwe pande ipite nipo na wanangu nishindwe kusema gari letu na shemeji hilo
 
Mdi
Ni kijana mdogo tunafahamiana kazini, Hunitazamia kama kaka yake na pindi anapokuwa kwenye changamoto kadhaa za kimaisha hupenda kunishirikisha

Kijana kaoa binti nisingependa kulitaja kabila ili kupunguza presha kwa wenye kabila lao

Ni kwamba ndugu wamekuwa wanajazana mno nyumbani kwao, Mbaya zaidi wengine wanakuja kwa kupishana leo anaondoka flani asubuhi, baada ya muda mfupi mwengine anafika,

Kijana analalamika haikuwa hivyo uchumbani lakini kaanza kuyaona baada ya ndoa, kwake imekuwa kero kwasababu ni mtu asiependa kampani ya watu wengi anapokuwa nyumbani,

Analalamika unajua sikutegemea haya, Privacy imepotea, Ndugu wa mke wanaharibu ratiba, wanaharibu bajeti, hawachangii matumizi, wamemshika mke kichwa, n.k.

Kuwachana live ndugu wa mke sio jambo rahisi, Akimwambia mke awaambie anasema wao ndio maisha yao hawezi.

Nilichomshauri ni kwamba ashughulike na udhaifu wao, hawapendi kujishughulishi kwa hio atafute mbinu ya kuwashughulisha mfano msimu huu mvua zinaanza mashamba ni wazo zuri, kuna kulima kwa jembe la mkono, kupalilia, kusafisha shamba, n.k.

Nilipomuuliza ni vipi hakutegemea hayo wakati kaoa binti wa kabila husika jibu lake liliniacha hoi, kwamba alidhani siku hizi mambo hayo yalishapitwa na wakati na binti aliemuoa ni msomi wote wamefika chuo.

Nitoe rai kwa vijana wengine, msipuuze haya mambo, mfano ukiambiwa kabila flani ni wasumbufu ukikosa pesa, kabila flani hawapendi nyumba iwe na ndugu wa mume, kabila flan wanajazana, n.k. usikatae moja kwa moja fanya uchunguzi. Kama ilivyo sifa ya sisi watanzania kuwa waoga haimaanishi ni wote ila ukitekwa tegemea kukosa msaada wa wapita njia, basi jua kila kabila lina kitu unique ambacho kinawatofautisha na makabila mengine.
Ndivyo na mimi niliingia mtego kwa kabila moja la kanda ya ziwa ila nikilitaja jina wasukuma/wanyantuzu watachukia ila hata mwaka haujaisha anaanza kuniuliza napokea mshahara shilingi ngapi kwa mwezi, binti ana hasira sana ilifikia kipindi anarusha ngumi kutaka kunipiga,anataka kumleta mtoto mdogo wa baba yake nyumbani kwangu hapo tunaishi chumba kimoja,nilimuondosha aisee
 
Uliza
Vijana wa siku wana matatizo, km wazee wetu kina Mkapa, Warioba, Sumaye na wengine wengi wameoa makabila tofauti na ya kwao kwanini sahivi? Haya mambo ya ubaguzi wa kikabila na kikanda ulianza wakati wa Magu. Yule msukuma ametuharibia nchi.
Mkapa kwao hata kibanda cha kueleweka hajajenga ila nenda moshi alivyoshusha mijengo kwa mke wake
 
Back
Top Bottom