Alipuuza kuchunguza tabia za kabila uchumbani kwa kuamini ni mambo ya kale, Baada ya ndoa analalamika nyumba imekosa Privacy

She needs a really talk ila kwa jinsi watu walivyo wanafki pamoja na huyo mume! Kama huyo mume yupo reasonable na hicho anachosema sioni kwa nini wasikae chini wakayaongea hatimaye kukomesha hiyo tabia.
 
maisha yamebadirika,... mwenye uwezo wa kulisha watu watano milo mitatu, kila siku ,....huyo yupo uchumi wa kati....na wenye uwezo huo kwasasa ni wachache,..hatuna mashamba ya wageni wetu kwenda kulima , wala mifugo ya kwenda kuchunga,....pia family privacy ni muhimu mno,...na nyinyi wageni ndo WABAKAJI wakubwa wa watoto,...HATUWATAKI,... nendeni KWENU,... hatujaoa UKOO wenu, tumeoa mke tu,....
 
mkuu utaoa kabila gani sasa?
 
Ishi kigaidi then ndugu wa mkeo watakuogopa, ukiwa mtu wa kucheka cheka hovyo itakula kwako.
 
Kwangu mgeni siku 2 zinatosha kwa mapumziko na kuyasoma mazingira, baada ya hapo kazi kazi hutaki rudi bush 😹

Hao angekuwa anawapa kazi, tena km majeuri anachukua tenda za saidia fundi wao ndo vibarua wenyewe.. anawachekea
 
Kwangu mgeni siku 2 zinatosha kwa mapumziko na kuyasoma mazingira, baada ya hapo kazi kazi hutaki rudi bush 😹

Hao angekuwa anawapa kazi, tena km majeuri anachukua tenda za saidia fundi wao ndo vibarua wenyewe.. anawachekea
Naomba niwe mgeni wako
 
Tabia ni ya mtu binafs haifungaman na maswala ya kabila
 
Wapare hatupo hvy, labla nyie wabena 😏
Mi mkinga, katika makabila ambayo hayalei ujinga na uvivu basi ni kinga’s.
Mgeni akija kwetu anatafutiwa kazi ya kufanya hakuna kuzunguka bila kazi 😹

Ila wapare mnapenda kitonga halafu vivivu na ufupi wenu 😹😹🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…