Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Edit mwezi hapo, unaandika haraka sana, ni mwezi SeptembaHuyu amesahaulika haraka zaidi kuliko Polepole.
Hakuna sauti za kuuliza TU wapi Makamu wetu,au Free him,kama ilivyokua Kwa wengine,mfano Malisa.
Alisema atajiuzuru rasmi tarehe 4-8-2026 Kuna yoyote ameshuhudia akikabidhiana ofisi?
Huyu tumekwishampoteza tayari,huenda tusimuone Tena.
Kirahisi TU.
Nawewe edit mwenzi hapo umeandika haraka chanašEdit mwezi hapo, unaandika haraka sana, ni mwezi Septemba
Dah na wewe je? au bathi.Nawewe edit mwenzi hapo umeandika haraka chanaš
Ha ha haa,nadhani amesahau sisi ni binadamu.Dah na wewe je? au bathi.
Asante,ila naomba MOD anirekebishie kwenye headingNawewe edit mwenzi hapo umeandika haraka chanaš
Watu wa CCM nje ya koti la uongozi ni weupe sana na hawana loloteKwa mwendo huu, atapotea Rais wa mchongo, naye atasahaulika haraka zaidi.
Na siku akionekana anakabidhi Ofisi utasemaje? Kuwa na akiba ya maneno!Huyu amesahaulika haraka zaidi kuliko Polepole.
Hakuna sauti za kuuliza TU wapi Makamu wetu,au Free him,kama ilivyokua Kwa wengine,mfano Malisa.
Alisema atajiuzuru rasmi tarehe 4-9-2026 Kuna yoyote ameshuhudia akikabidhiana ofisi?
Huyu tumekwishampoteza tayari,huenda tusimuone Tena.
Kirahisi TU.
Nawewe edit mwenzi hapo umeandika haraka chanaš
Alisema atajiuzulu Tarehe 4Sept,sijaona chochote,kama raia wa nchi hii Nina Hali ya kuhoji.Na siku akionekana anakabidhi Ofisi utasemaje? Kuwa na akiba ya maneno!
Weee ndio umemsahau wengine kama mimi tunamkumbukaHuyu amesahaulika haraka zaidi kuliko Polepole.
Hakuna sauti za kuuliza TU wapi Makamu wetu,au Free him,kama ilivyokua Kwa wengine,mfano Malisa.
Alisema atajiuzuru rasmi tarehe 4-9-2026 Kuna yoyote ameshuhudia akikabidhiana ofisi?
Huyu tumekwishampoteza tayari,huenda tusimuone Tena.
Kirahisi TU.
Hawezi kuonekana.Na siku akionekana anakabidhi Ofisi utasemaje? Kuwa na akiba ya maneno!
Dah! Huyo Nchimbi ni CCM Hana thamani Tena.Wachochezi ndio wenye kumtafuta Mh Emanuel Nchimbi ili wamtumie Kichocheziš«”š
mwenyewe Jasusi mbinu zao za kitoto kwake hazina nafasi yoyote!!
Wachochezi Waendelee kumtafuta Polepole kinafikiāļø