Alisema atajiuzuru rasmi tarehe 4 Agosti, Tumeshamsahau tayari.

Alisema atajiuzuru rasmi tarehe 4 Agosti, Tumeshamsahau tayari.

Huyu amesahaulika haraka zaidi kuliko Polepole.

Hakuna sauti za kuuliza TU wapi Makamu wetu,au Free him,kama ilivyokua Kwa wengine,mfano Malisa.

Alisema atajiuzuru rasmi tarehe 4-9-2026 Kuna yoyote ameshuhudia akikabidhiana ofisi?
Huyu tumekwishampoteza tayari,huenda tusimuone Tena.
Kirahisi TU.
Kwahiyo mmemkamata ili mtegemee tutakuja kuwauliza alipo Vp wetu siyo?nyinyi watu wa Ccm bure kabisa.
 
Kiukweli i was hopeful nikisubiri tar 4, nilikuwa nawaambia watu CCm wanapenda sana drama tusimalize maneno tusubiri tar 4, imepita kimya….aisee

Rasmi nchi yetu imekuwa ya ajabu sana. Makamu wa Rais anajiuzulu kwa barua mtandaoni halafu anakaa kimya wiki kadhaa!

Siku akijitokeza ni heri akae kimya milele maana ameshaona hana impact yoyote ile kwenye siasa za nchi hii.

Otherwise as a fellow human being tumuombee heri aliko.
 
Kiukweli i was hopeful nikisubiri tar 4, nilikuwa nawaambia watu CCm wanapenda sana drama tusimalize maneno tusubiri tar 4, imepita kimya….aisee

Rasmi nchi yetu imekuwa ya ajabu sana. Makamu wa Rais anajiuzulu kwa barua mtandaoni halafu anakaa kimya wiki kadhaa!

Siku akijitokeza ni heri akae kimya milele maana ameshaona hana impact yoyote ile kwenye siasa za nchi hii.

Otherwise as a fellow human being tumuombee heri aliko.
Inasikitisha sana Kwa kweli.
Ikiwa aliekua Makamu wa RAIS habari zake wananchi hawazijui toka ametangaza kujiuzulu.
Kila kitu kiko kimya
Hii nchi hatuko salama aisee
 
Familia yake umesikia wakilalamika ?
Wakilalamika kama akina mama ake Polepole tunaweza kutia neno

Achaneni na mambo na huyo mtu yeye na chama chake wanajua zaidi
 
Hakuna tatizo limetokea.
There is poor communication.
Kama Rais Samia hakutaka Nchimbi aongee kuhusu Katiba Mpya angempigia simu tu na kumuuliza,"Kwa nini umekwenda kule umeongea kuhusu Katiba Mpya,nani aliyekutuma kuongea hivyo.?"

Sasa tunajadiliana kuhusu maridhiano kila mtu anaogopa kuongea anawaogopa akina Mafwele.

Lakini wananchi pia wanapaswa kuogopwa. Ukiwakasirisha wananchi na ikabidi uombe msamaha itakuwa too late.

Wananchi wanataka kujua kama kuna system;au mtu yoyote anaweza kutekwa wakati wowote bila sababu yoyote .

Hii nukuu kutoka Fatir katika Quraan.
"Na hazilingani bahari hizi mbili: hii ni tamu yenye upeo wa utamu,ni laini kupita kooni,inaondosha kiu,na hii (nyingine) ni ya chumvi yenye uchumvi mkali. Na kutokana na kila mojawapo ya bahari mbili mnakula samaki wazuri wenye ladha ya kupendeza,na mnatoa pambo,ambalo ni lulu na marjani,la nyinyi kulivaa"

Hii inafanana na yule Nabii alivyokuwa anaongea jana. Na ninaposema ' jana' nina maana Jana Jumapili .

Alikuwa anasema ataibuka kiongozi kutoka Kanda ya Ziwa. Kule kuna maji tulivu. Yeye atakuwa counterbalance ya huu uongozi wa maji chumvi wa Unguja. Anasema lazima iwepo balance; kwa sababu violence inatokea katika nchi, imetokea katika nchi Kwa sababu huu uongozi wa maji chumvi umekuwa na nguvu sana siku za karibuni.

Anasema atatokea huyu kiongozi kutoka Kanda ya Ziwa ambaye utamtambua Kwa ishara nne;
1 Ya kwanza ni hiyo kwamba atakuwa anatoka Kanda ya Ziwa.
2. Ishara ya pili ni hii"Mwalimu"
Ishara nyingine nitazitaja siku ingine.
Kwa Leo tumalize hii ibada.

Kwa hiyo kuhusu maji ya Ziwa na maji chumvi mimi nadhani ni kwamba kama tuna matatizo tuyatanzue bila jazba,tuwe reasonable,tuwe tranquil.
Otherwise tukileta maji chumvi kutatokea mfarakano.

Hapa naona we are all in for a rough time and things will get worse before they get better.
Sisi Familia ya Nyerere,we will just watch this.
If there is any solution it will certainly not come from us.

Kama watu watakuwa over zealous for peace na wataanza kuweka sumu kwenye microphone,we don't know what is going to happen next.

Equanimity, tranquility,reason,that is the way forward from now on. Tranquility and nothing but tranquility. Mtu mstaarabu hakasiriki.
Ukikasirika,ukigadhabika,you are uncultured.
 
Back
Top Bottom