MaweSaba
JF-Expert Member
- May 3, 2024
- 416
- 641
Katika ahadi ya 4 ya Mgombea Uraisi kutoka CCM alisema ETI...
"Serikali itapiga marufuku hospitali yoyote nchini kuzuia miili ya Marehemu kuchukuliwa na ndugu zao hata kama gharama za matibabu aliyopatiwa marehemu yazijalipwa. Serikali itakuja na mfumo mwingine wa kuhakikisha jamaa wa marehemu wanalipa gharama hizo."
Miili ya waliouwawa kikatili Oct 2025 imezuiwa na serikali ambayo inasema haitazuia miili? 🤔🤔🤔