Alisema siku ya kifo chake watu wasihuzunike, bali wale na kunywa

Alisema siku ya kifo chake watu wasihuzunike, bali wale na kunywa

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Tuwe makini na kauli ambazo tunazizungumza kwa ndugu zetu hasa hasa wosia usio na tija

Alisema kama wangelia lia, angeliwasumbua. Waamua kumfanyia surprice ya maana

Nisiseme mengi

Alamsiki
 
Kuna ndugu anasemaga mimi nikifa hata msinisafirishe hapohapo nilipokifa nizikeni.

Mwingine akasema mie nikifa kwenye msiba wangu mvae mpendeze sio mkae shabishabi. Nendeni saluni mekapu na mvae vizuri.

Bado hawajafa wote, sijaonana nao kitambo ni dugu wa mbali kidogo.

Na walitamka hayo baada ya kuhudhuria misiba ya ndugu yenye sintofahamu.

Mdomo huumba.
 
Tuwe makini na kauli ambazo tunazizungumza kwa ndugu zetu hasa hasa wosia usio na tija

Alisema kama wangelia lia, angeliwasumbua. Waamua kumfanyia surprice ya maana

Nisiseme mengi
View attachment 2778161
Alamsiki
Aliyekuwa waziri wa sheria na katiba Kenya Charles Njonjo na utajiri wake aliacha usia akifa wasifanye matanga yoyote wamchome moto baada ya masaa manne na ikawa hivyo.
 
Back
Top Bottom