Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Kwamba malaika wa hukumu asiweze kuvunja nyumba yake na kuingia ndani?[emoji1787]mwingine alisema akifa achimbiwe futi 20 wamwage na zege.
Tuwe makini na kauli ambazo tunazizungumza kwa ndugu zetu hasa hasa wosia usio na tija
Alisema kama wangelia lia, angeliwasumbua. Waamua kumfanyia surprice ya maana
Nisiseme mengi
View attachment 2778161
Alamsiki
Msibani hadi kuna mtu wa ku hypeTuwe makini na kauli ambazo tunazizungumza kwa ndugu zetu hasa hasa wosia usio na tija
Alisema kama wangelia lia, angeliwasumbua. Waamua kumfanyia surprice ya maana
Nisiseme mengi
View attachment 2778161
Alamsiki
Aliyekuwa waziri wa sheria na katiba Kenya Charles Njonjo na utajiri wake aliacha usia akifa wasifanye matanga yoyote wamchome moto baada ya masaa manne na ikawa hivyo.Tuwe makini na kauli ambazo tunazizungumza kwa ndugu zetu hasa hasa wosia usio na tija
Alisema kama wangelia lia, angeliwasumbua. Waamua kumfanyia surprice ya maana
Nisiseme mengi
View attachment 2778161
Alamsiki
Ndivyo jinsi alivyotaka. Na sisi tumeamua kufanya kama alivyopendaMsibani hadi kuna mtu wa ku hype