Alitaka apigwe bao 8 ndo aridhike

Alitaka apigwe bao 8 ndo aridhike

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
1,440
Reaction score
2,952
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya
mzee wa kasumba.

Siku moja bwana nilitongoza mwanamke ambaye amenizid umri kwa miaka 7 HIVi. Sasa ili kunikataa akasema "dogo Mimi huniwezi kwasababu ili niridhike Hadi nipigwe bao 8 na kuendelea"

Nikamwambia kuwa mm napiga bao 11.
Akasema Kama nikweli basi unanifaa. Akasema Sasa ole wako unishindwe. Nikamwambia nikishindwa nakulipa pesa yoyote. Akasema powa

Sasa namimi sijawahi piga hata 7. Lakini mwanaume nikajikaza nikasema ngoja nipambane.

Siku ya game bwana nikajiandaa zangu kawaida tu. Nikasema huyu inaelekea ana muda mrefu hajapata TOTO UNGUA

Bwana wee kufika ndani nikamuandaa zaidi ya vile ipasavyo. Duuh ebwana we..... Nimepiga kimoko tuuu mmama hooooi hajiwezi.

Kupiga chapili tuuu.... Akasema basi mdogo wangu nilikuwa nakutania tu lakini kumbe upo vizuri. Nkamwambia twendelee tune nataka Hadi nami niridhike.

Mbona aliomba poo
Mpaka Sasa heshimaaa.... Kumbe ilikuwa matisho tu jamani wanaume wenzangu. Usimuogope mwanamke kwa umbo lake au maneno meeeengi.

KASUMBA HAZIMUACHI MTU SALAMA.
 
Sasa hizo nguvu za kubandua vizee zipeleke kwenye kubangua koro-show. Ujue tumezirundika kama mchanga wa Goba hatujui tutabanguaje na tutauza wapi!! Mzee baba kasema tutakula wenyewe!! Si ushuuzi wake huo!!!
 
wanasema mjini msingi .......?
 
aiseeee hii habari ililetwa saa tano asubuhi.......

by the way hongera mkuu kwa kutuwakilisha vijana
 
nikajua kweli 8...nilitaka sema brother uyo sio ke bali ni robot ilooo
 
Hii jinsia ya pili usipoimanya itakupa tabu sana.
 
Back
Top Bottom