Alitaka kumaanisha nini kwenye "Zombi hizi beat hazipigwagi"

Alitaka kumaanisha nini kwenye "Zombi hizi beat hazipigwagi"

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kuna mtu yoyote anaweza kujua Mondi logic yake ni ipi kusema zombi siku hizi hizi beat hazipigwagi.. Ni beat gani Hizo maana kama ni amapiano ndo Kwa sasa kipenzi cha ma teenage na Wao wanafanya amapiano how come aseme kwamba hizi beat hazipigwagi zipi sasa wanazopiga
 
Akimaanisha ni ubora wa beat, kwamba beat zenye ubora wa Hali ya juu kuanzia melody mpaka percussion. Ni ubora ambao hufanywa na wachache na kwa nadra Sana. Kwahiyo kimsingi alimaanisha beat hiyo ina ubora na viwango vya hali ya juu ukilinganisha na beats nyingine. Haya ni maoni yangu na si hitimisho juu ya mjadala huu.
 
Ni hazipigwagi? Mimi nilijua anauliza 'Hazipikwagi' kwa maana sio za kuiba.
 
Back
Top Bottom