Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Big up mkuuHuyu demu toka nimeacha kumpa pesa ameanza ujinga. Jan ghafla tu anasema tuachane. Nimemwambia aache huo upuuzi kabisa.
Alipaswa anipange siyo ghafla tu utadhani anadondosha glass au jiwe. Mimi sikujiandaa kwa jambo hilo. So ni bora angeanza taratibu kuniandaa siyo tu unaamka unasema tuachane.
Nimemkatalia kabisa jana. Nikamwambia aondoe hayo mawazo. mi siachwi hivyo. Leo asubuhi nimempigia simu kumwambia aje home kuna mambo yake yapo sawa.
Kawahi kuja. Tumeongea kidogo nikampa na wine kanywa... Nimemchapa nao kinyama. Kwa hasira sana... Then nikamwambia tutoke. Nikaenda naye kwake. Nikamwambia ajiandae nitampitia tukaanze weekend.
Nimemtumia msg kuwa nimefikiria lile wazo lake la jana. Nimeliafiki nimeona bora tuachane. Amepiga sana simu sipokei na msg zake sijibu.
[emoji16][emoji16]mimi nilitaka ajitoe mwenyewe nilikata misaada. akanishtukiza kuwa tuachane maana simjali siku hizi ....nikamrudisha halafu nikamwaga. sasa ameumia sababu anasema leo nlimwita kumtumia tu na alipoteza mpaka nauli ya kwendea kesho kwenye mizunguko yake.....na ameumia anataka nimsamehe turudiane. ila nimemshtukia anataka turudiane kisha animwage. nam nimegoma