Alitishia mtu bastola na kumjeruhi alitakiwa kusomewa Ph leo kisha mashahidi tuanze kutoa ushahidi maana kila Mtanzania ameona kwa macho yake

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Pumbavu sana! Mpaka 20? Analindwa na huyu ni mhuni TU! Eti TISS unalala night club na unagombania wanawake Kwa bastola? Kachukue madada POA huko ngenye zimezidi!
 
Unatoa ushahidi hapo nyuma ya keyboard ya mchina sio 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…