Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 70,785 Reaction score 186,690 Oct 30, 2024 #41 njumu za kosovo said: Ujue Tiharaeeeei kuna ma🦷 wengi wamepenyezwa ila wamesahau majukumu yao wanaponda raha kuliko kazi yao ya asili haya huyu anajidai ni tiharaeiii ila ni ma🦷 yanayojisahau ndo ubaya wa kazi za kupeana hizi Click to expand... Kumbe ni afisa jino huyo😂
njumu za kosovo said: Ujue Tiharaeeeei kuna ma🦷 wengi wamepenyezwa ila wamesahau majukumu yao wanaponda raha kuliko kazi yao ya asili haya huyu anajidai ni tiharaeiii ila ni ma🦷 yanayojisahau ndo ubaya wa kazi za kupeana hizi Click to expand... Kumbe ni afisa jino huyo😂
Z zandrano JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 7,893 Reaction score 8,816 Oct 30, 2024 #42 tujifunze kuheshimu utawala wa sheria, tusipende sana kuviingilia vyombo vya sheria. Jambo la msingi kafikishwa kwa Pilato. tuache afanye kazi yake.
tujifunze kuheshimu utawala wa sheria, tusipende sana kuviingilia vyombo vya sheria. Jambo la msingi kafikishwa kwa Pilato. tuache afanye kazi yake.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Oct 30, 2024 #43 Muuza Kangala said: Kwa nini kesi iahirishwe mpaka tarehe 20 Novemba wakati upelelezi umekamilika? Upelelezi ukikamilika kinachofuata ni kusoma maelezo ya awali yaani Ph. Sasa hapa kwa nini kesi itajwe tar 20? Hapa mazingira ya rushwa. Soma Pia: Afisa wa TRA aliyemjeruhi mtu kwa Bastola aachiwa kwa Dhamana Polisi wamtia mbaroni anayedaiwa kuwa "Afisa Usalama" aliyemjeruhi raia kwa 'kitako cha bunduki' Click to expand... Ni maigizo tupu kesi itafutwa
Muuza Kangala said: Kwa nini kesi iahirishwe mpaka tarehe 20 Novemba wakati upelelezi umekamilika? Upelelezi ukikamilika kinachofuata ni kusoma maelezo ya awali yaani Ph. Sasa hapa kwa nini kesi itajwe tar 20? Hapa mazingira ya rushwa. Soma Pia: Afisa wa TRA aliyemjeruhi mtu kwa Bastola aachiwa kwa Dhamana Polisi wamtia mbaroni anayedaiwa kuwa "Afisa Usalama" aliyemjeruhi raia kwa 'kitako cha bunduki' Click to expand... Ni maigizo tupu kesi itafutwa