Alivyotumbuiza Diamond na wenzake Gabon

yuko stegini anafanya yake,heko sana baba tifa.
Amepafom vizuri na amejitahidi sana na alivyotumia kiswahili ilipendeza sana na licha ya kuwa na bendera madensa wake wamevaa nguo zelizo andikwa Tanzania.

In short no matter our differences bu the truth should be told. Domo amefanya vizuri na ameitendea haki nchi yetu.
 
Jamaa kafeli ...kakata viuno hajaimba kachafua bendera

Mimi pia nimeona hilo. Lakini kwa sababu hatupendi kuambiana ukweli kwa ajili ya kuboresha hasa katika international stages kama hii golden chance inabidi kumsifia tu.

Hata hivyo, amafika mbali. Na ana talent. Tumpe support apande juu zaidi.

Hongera Diamond!
 
Nimeipenda sana idea waliyovalishwa dancers wake.
 
Wewe ni mzalendo halisi. ..ubarikiwe. .
 
Well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…