yupoNingefurahi kama Jamal malinzi yuko humu!??
Duh ! tegemea quotes nyingi hapa kama nakuona unavyosubiri !NI matunda ya Sera thabiti za CCM
Abeeee! ?NI matunda ya Sera thabiti za CCM
Ndio ukweli huo !Abeeee! ?
Nimependa alivyofanya kwenye ule wimbo alioshirikishwa na kina Mahombi, jamaa yuko talented maana alivyoadapt mule utadhani wimbo wake, amewashinda hata wenye wimboAFCON ni jukwaa kubwa mno, amelitendea haki na ameenda beyond expectations za wengi.
Haters huwa hawakosi maneno ya ushetani waoJamaa kafeli ...kakata viuno hajaimba kachafua bendera
Jamaa kafeli ...kakata viuno hajaimba kachafua bendera
Zile style za kucheza yeye ndo mwalimuNimependa alivyofanya kwenye ule wimbo alioshirikishwa na kina Mahombi, jamaa yuko talented maana alivyoadapt mule utadhani wimbo wake, amewashinda hata wenye wimbo
Ulitaka aiwekeee wapi????? Nyie wabongo buanaaaHalafu bendera yetu kaiweka chini du kosa sana zamani jkt ukidondosha bendera ni kosa
Ulitaka aiwekeee wapi????? Nyie wabongo buanaaa
Ulifuatilia kwelJamaa kafeli ...kakata viuno hajaimba kachafua bendera
Ndiyo lazima wanayo tayriHuyu Diamond mgomvi eti "habari wanayo "
Thamani ya Bendera inategemea na ww acha zako sasa pale ulitaka aweke wapi? Sema ww ulitaka aweke wapi ukisema thamani ya bendera basi hata ukiikunja utakuwa umekoseaBuha wewe usiyejua thamani ya bendera rudi class