Alivyotumbuiza Diamond na wenzake Gabon

Alivyotumbuiza Diamond na wenzake Gabon

AFCON ni jukwaa kubwa mno, amelitendea haki na ameenda beyond expectations za wengi.
 
AFCON ni jukwaa kubwa mno, amelitendea haki na ameenda beyond expectations za wengi.
Nimependa alivyofanya kwenye ule wimbo alioshirikishwa na kina Mahombi, jamaa yuko talented maana alivyoadapt mule utadhani wimbo wake, amewashinda hata wenye wimbo
 
Mbona anaimba off key?

Maproduser huwa wana kazi sana wanatumia muda mwingi kurekebisha msanii audio ikitoka bomba wala yeye hatambuliki, sasa issue inakuja pale anapokwenda ku perform kutumia wimbo ambao asilimia kubwa ni produser katumia kila aina ya ujanja ili angalau isikike kama pitch corrector na outotune utaona wazi msanii ana bonge la singo lakini akiimba kuna varriation kubwa kati ya ile ya studio na hii ya live anakuwa anaimba out of pitch
 
Buha wewe usiyejua thamani ya bendera rudi class
Thamani ya Bendera inategemea na ww acha zako sasa pale ulitaka aweke wapi? Sema ww ulitaka aweke wapi ukisema thamani ya bendera basi hata ukiikunja utakuwa umekosea
 
Back
Top Bottom