Alivyovumilia maswahibu mengi ya kushangaza, Mbowe anapaswa aheshimiwe

jitombashisho

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2020
Posts
651
Reaction score
2,246
Kwa namna bwana mkubwa huyo alivyo vumilia maswahibu mengi ya kushangaza ni wazi pamoja na kwamba ni mpinzani kwa hakika anayo haki ya kuheshimiwa na watu wote wapenda amani.

Mbowe ni kiongozi mvumilivu na wa kupigiwa mfano! Kuna wakati huwa najiuliza ingekuwaje mtu kama Tundu Lissu, Heche, Lema na viongozi wengine wenye nyoyo zisizo na staha na uvumilivu kama wa Mbowe nchi hii tungekuwa wapi leo?!

Kwangu mimi na bila unafiki wowote na u CCM wangu mh Mbowe ni tunu ya Taifa na kiongozi wa mfano wa upinzani nchini.

Ni wakati sasa umefika kwa Taifa letu liutambue mchango wa ndugu yetu huyo kwa namna anavyochangia AMANI YA NCHI HII KUSTAWI.

Na hongera zangu uzipate ndugu Mbowe!
 
Naunga mkono hoja

Mh.Mbowe Ni Mpinzani wa kweli Alie jaliwa hekima na busara. Napenda Sana Uongozi makini wa huyu Nguli wa siasa.

Tatizo Kuna waropokaji na Wahuni Wachache tu ndani ya chama chake ndo wanao muangusha.
 
Kwa namna bwana mkubwa huyo alivyo vumilia maswahibu mengi ya kushangaza ni wazi pamoja na kwamba ni mpinzani kwa hakika anayo haki ya kuheshimiwa na watu wote wapenda amani.

Mbowe ni kiongozi mvumilivu na wa kupigiwa mfano! Kuna wakati huwa najiuliza ingekuwaje mtu kama Tundu Lissu, Heche, Lema na viongozi wengine wenye nyoyo zisizo na staha na uvumilivu kama wa Mbowe nchi hii tungekuwa wapi leo?!

Kwangu mimi na bila unafiki wowote na u CCM wangu mh Mbowe ni tunu ya Taifa na kiongozi wa mfano wa upinzani nchini.

Ni wakati sasa umefika kwa Taifa letu liutambue mchango wa ndugu yetu huyo kwa namna anavyochangia AMANI YA NCHI HII KUSTAWI.

Na hongera zangu uzipate ndugu Mbowe!
Kweli tupu Mbowe amekuwa alama ya siasa za upinzani na demokrasia Tanzania, anapaswa kuheshimika. Watanzania tuache ushabiki usio na manufaa na tuwe na upeo wa kuona kwamba inabidi sasa tubadilishe siasa zetu kwa kuwachagua wapinzani. Nchi zote zilizoendelea zinabadilisha chama tawala kila miaka 4-8. Kwanini sisi tunabaki na chama kimoja miaka 66?
 
Back
Top Bottom