Aliyah presenter mwenye kila kitu!

Aliyah presenter mwenye kila kitu!

Jana usiku nilimuona Mlimani City kwenye red carpet ya event hii..

Anafanya kazi yake vizuri sana. Anajiamini na anajua kutokelezea.

Uzuri? Hilo ni suala la mtazamo ila binafsi niliona ana mvuto mashallah (mweupe sana) japo amepigwa pasi kweli kweli halafu ni ka' shortie [emoji12][emoji12]
IMG_20190330_180057_539.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom