Aliye na sababu ya kuishi yupo tayari kuvumilia hali yoyote kuendelea kuishi, ni kitu gani kinakupa sababu ya kutaka kuendelea kuishi?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
kwenye Maisha kutokua na sababu ya kuishi kunaua zaidi kuliko njaa na magonjwa, mtu asie na sababu ya kuishi ni rahisi kukata tamaa, kuishi bila kujijali, kuwaza sana starehe, n.k.

Sababu ya kuishi kwa kuogopa kifo ni kwa kila kiumbe, hata panya akibanwa kwenye kona hupata ujasiri wa ajabu wa kujaribu kumrukia paka, binadamu ana sababu za ziada kwa kuwa kapewa akili zaidi na mamlaka.

Je, ni sababu ipi yenye uzito zaidi inakufanya uendelee kuishi?

Natoa mifano michache
  • Kuishi kwa ajili ya kusaidia watu (mfano kusaidia maskini, kutibu wagonjwa, n,k.)
  • Kuishi kwajili ya watu (mfano mke / mume, watoto, n.k)
  • Kuishi kulinda mazingira (kupanda miti, usafi wa mazingira, n.k)
  • Kuishi kuwa role model (kuwapa vijana hamasa wapambane wawe kama wewe)
  • kuishi kutunza utamaduni (kuutunza na kusambaza utamaduni wa jamii yako)
A person who has a Why to live for, can bear almost any How.
 
Kusafiri dunia.

Hii dunia ina mambo mengi sana ambayo natamani kuyajua.

Hivyo sababu yangu kuu ili niendelee kuishi ni ili nipate kujua vingi zaidi.
 
Ziba pua yako kwa mikono huku umefunga kinywa chako utaona mwili unavyopambana kuhakikisha unapata pumzi uendelee kuishi.

Binafsi sina sababu za msingi sana ila kwakua mwili unataka kuishi basi naishi nao
 
Tunaishi Kwa ajili ya watu wengine .

Kukata tamaa
Kuona maisha hayana maana
Na kuwa vulnerability

Inaweza kutokea pale unapojiwaza Sana wewe kupita kiasi.

Jana nilikosa hela bank
Nikatembea na Miguu bila gari
Go and return

Ila nilipoanza kuhisi kulalamika nilijikumbusha kuwa japo mafuta yameisha kwenye Gari Ila bado I can walk from one place to another Kwa miguu .

Blessing is alywas there hasa ukimtazama wa chini yako ambaye hajiwezi kabisa. You will stop blaming the game of life .

Binafsi sababu ya kuishi I need to make a difference in life hasa kuwagusa ,yatima ,wajane ,walemavu n.k

Na Kama nitaishi ten years to come from now nategemea kuanzisha kituo kikubwa cha kusaidia walemavu hasa watoto.
 
maswali mengine bana, sasa nna sababu gani wakat naishi sababu siku yangu yakufa haijafika.
 
1. Kila nikimuangalia janjaro (4) years now na nikifikiria wadogo zake najiona mimi maisha bado natakiwa kuongeza bidii.

2. Sikuzaliwa kulipa kodi na kuendelea kuishi natamani kutoka nikatembee duniani kama nitashindwa basi hata hapa Africa.

Tunafanya yote katika yeye atutiaye nguvu. Tunaomba atujalie afya njema, amani na mafanikio atukinge na maovu. Amina

Happy New Year
 
kwenye Maisha kutokua na sababu ya kuishi kunaua zaidi kuliko njaa na magonjwa, mtu asie na sababu ya kuishi ni rahisi kukata tamaa maishani, kuishi bila kujijali mfano ulevi uliopindukia, n.k...
Nipo confused 😕 🤔
 
1. Kila nikimuangalia janjaro (4) years now na nikifikiria wadogo zake najiona mimi maisha bado natakiwa kuongeza bidii.

2. Sikuzaliwa kulipa kodi na kuendelea kuishi natamani kutoka nikatembee duniani kama nitashindwa basi hata hapa Africa.

Tunafanya yote katika yeye atutiaye nguvu. Tunaomba atujalie afya njema, amani na mafanikio atukinge na maovu. Amina

Happy New Year
Happy new year too.
 
Tunaishi Kwa ajili ya watu wengine .

Kukata tamaa
Kuona maisha hayana maana
Na kuwa vulnerability

Inaweza kutokea pale unapojiwaza Sana wewe kupita kiasi.

Jana nilikosa hela bank
Nikatembea na Miguu bila gari
Go and return

Ila nilipoanza kuhisi kulalamika nilijikumbusha kuwa japo mafuta yameisha kwenye Gari Ila bado I can walk from one place to another Kwa miguu .

Blessing is alywas there hasa ukimtazama wa chini yako ambaye hajiwezi kabisa. You will stop blaming the game of life .

Binafsi sababu ya kuishi I need to make a difference in life hasa kuwagusa ,yatima ,wajane ,walemavu n.k

Na Kama nitaishi ten years to come from now nategemea kuanzisha kituo kikubwa cha kusaidia walemavu hasa watoto.
Yeah.Because the game of life is brutal but still fair.
 
Kusema ukweli mimi nipo kwasababu nipo..
Naogopa kufa!
Pia wazazi watajiskiaje nikifa
Wataumia sana basi huwa naomba Sana Mungu niendelee kuwepo kwa ajili yao mana sijui hata watajiskiaje
 
Kuogopa kufa ni sababu ya viumbe vyote hata kuku akiona kisu mtakimbizana tu.

Tunazungumzia sababu kwa level ya binadamu
 
kwenye Maisha kutokua na sababu ya kuishi kunaua zaidi kuliko njaa na magonjwa, mtu asie na sababu ya kuishi ni rahisi kukata tamaa, kuishi bila kujijali, kuwaza sana starehe, n.k...
Naishi ili nile nimywe ni lale,mengine,kila Ntu na aubebe mzigo wake.
 
Kiporo cha wali na maharage na chai ya rangi iliyokolea sukari 🤣🤣🤣.
Kinanipa ari na hamasa ya kuendelea kusogeza maisha.
 
Kusema ukweli mimi nipo kwasababu nipo..
Naogopa kufa!
Pia wazazi watajiskiaje nikifa
Wataumia sana basi huwa naomba Sana Mungu niendelee kuwepo kwa ajili yao mana sijui hata watajiskiaje
ninavyoamini kifo hakiogopeshi, bali mchakato wa kukifikia hicho kifo ndio unaogofya.
 
kwenye Maisha kutokua na sababu ya kuishi kunaua zaidi kuliko njaa na magonjwa, mtu asie na sababu ya kuishi ni rahisi kukata tamaa, kuishi bila kujijali, kuwaza sana starehe, n.k.

Sababu ya kuishi kwa kuogopa kifo ni kwa kila kiumbe, hata panya akibanwa kwenye kona hupata ujasiri wa ajabu wa kujaribu kumrukia paka, binadamu ana sababu za ziada kwa kuwa kapewa akili zaidi na mamlaka.

Je ni sababu ipi yenye uzito zaidi inakufanya uendelee kuishi

Natoa mifano michache
  • Kuishi kwa ajili ya kusaidia watu (mfano kusaidia maskini, kutibu wagonjwa, n,k.)
  • Kuishi kwajili ya watu (mfano mke / mume, watoto, n.k)
  • Kuishi kulinda mazingira (kupanda miti, usafi wa mazingira, n.k)
  • Kuishi kuwa role model (kuwapa vijana hamasa wapambane wawe kama wewe)
  • kuishi kutunza utamaduni (kuutunza na kusambaza utamaduni wa jamii yako)
A person who has a Why to live for, can bear almost any How.
Gen z vipi,usijiue
 
Mimi nipo tu nakimbizana na majanga, no retreat no surrender siku yakinizidi niishie zangu
 
Back
Top Bottom