Aliye na sababu ya kuishi yupo tayari kuvumilia hali yoyote kuendelea kuishi, ni kitu gani kinakupa sababu ya kutaka kuendelea kuishi?

Aliye na sababu ya kuishi yupo tayari kuvumilia hali yoyote kuendelea kuishi, ni kitu gani kinakupa sababu ya kutaka kuendelea kuishi?

Kiporo cha wali na maharage na chai ya rangi iliyokolea sukari 🤣🤣🤣.
Kinanipa ari na hamasa ya kuendelea kusogeza maisha.
Sema chai ndondo,full mzuka
 
  • Kicheko
Reactions: apk
kwenye Maisha kutokua na sababu ya kuishi kunaua zaidi kuliko njaa na magonjwa, mtu asie na sababu ya kuishi ni rahisi kukata tamaa, kuishi bila kujijali, kuwaza sana starehe, n.k.

Sababu ya kuishi kwa kuogopa kifo ni kwa kila kiumbe, hata panya akibanwa kwenye kona hupata ujasiri wa ajabu wa kujaribu kumrukia paka, binadamu ana sababu za ziada kwa kuwa kapewa akili zaidi na mamlaka.

Je, ni sababu ipi yenye uzito zaidi inakufanya uendelee kuishi?

Natoa mifano michache
  • Kuishi kwa ajili ya kusaidia watu (mfano kusaidia maskini, kutibu wagonjwa, n,k.)
  • Kuishi kwajili ya watu (mfano mke / mume, watoto, n.k)
  • Kuishi kulinda mazingira (kupanda miti, usafi wa mazingira, n.k)
  • Kuishi kuwa role model (kuwapa vijana hamasa wapambane wawe kama wewe)
  • kuishi kutunza utamaduni (kuutunza na kusambaza utamaduni wa jamii yako)
A person who has a Why to live for, can bear almost any How.
Hali ya uungu ndani yangu
 
Back
Top Bottom