Aliye nyosha mkono wa maridhiano ana wazimia wengine redio wasisikike

Aliye nyosha mkono wa maridhiano ana wazimia wengine redio wasisikike

August

Platinum Member
Joined
Jun 18, 2007
Posts
10,983
Reaction score
7,157
Wakati kuna Kiongozi moja anasema kuwa yupo tayari kunyosha mkono wa maridhiano , lakini wakati huo huo anawazimia redio wengine wasisike na kuonyesha upande wa pili wa shillingi.

Sasa mtu kama huyo ni kweli anataka maridhiano au ni hadaa na ana hitaji wa kupumua kidogo
 
Back
Top Bottom