Aliye tayari kuwa 'new couple' special kwa ajili ya JF

Aigoo

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
3,124
Reaction score
2,819
Mimi kama mwanaume tena mwenye uthubutu kwa mara ya kwanza kabisa ningependa kujitokeza kutafuta new couple ndani ya jf tutakayo match nae vzuri, kigezo ni kimoja tu awe mcheshi asie na jazba mpenda kuchat.

Ijapokuwa mimi si mhenga sana wa jf lkn kwa kipindi ambacho nimekuwepo humu nimekuwa mwanafamilia. Kama mwanafamilia kiukweli nimekuwa na wivu mkubwa sana kwa couple zinazoshamili ndani ya jf nikajitathimini kwan mi nani nisiweze kuwa na couple yangu humu tukakinukisha weeeeh.! na kunogesha mapenz mubashara kabisa kama ile couple iliyotulisha matango pori mchana kweupe tukabaki macho Kodo midomo wazi...! Aisee ila jf raha sana unaweza pelekwa ulaya na kurudishwa bila kujijua. Nataman kuwa mention Kwa majina wale ninaowawish lakini naogopa kupigwa za uso

Karibuni...!
 
Usithubutu kumfungalia uzi mwanamke wa JF kama hujakua na uhakika niwako au utammiliki.( ujinga nikuandika uzi alafu demu anakuambia ,ninamtu !! Alafu mbaya anaongea anacheka kabisaaa na kwa kujinadi ....eti

"" thank youuuu my kaka ila nina mtu tayari ,Mungu atakupa anayekufaa'"" ......

Bro bila shaka utakuja na ID mpya ,kinyume nahapo utawachukia mashe wahumu ,lkn pia utakua umejitengenezea mazingira ya kutokukubalika tena.....( unless uwe makini ktk kucheza na Akili zao) .

Chapili,, hapa ndo mnakosea ,, Mwanamme huwa hatangazi kutafuta date ,, ukitangaza nikutafuta mkee ,lkn hizi za kuanzisha mahusiani sio zakutoa tangazo..

Hizi unawafata PM hata kama wapo mia ,wee mfate mmoja baada ya mwingine alafu finally Njoo nammoja unayemuelewa zaidi na yeye akakuelewa .

Nmesema haya kwasababu , Akili za wanawake bila shaka naww unazijua vzuri tuuu "kwa ajili ya couple" atakuja but not completely into you , nakwajinsi ulivyojichanganua niww unayeonekana mwenye shida kuliko hata atakayekuja.

Sawa ukapate sawa sawa na mapenzi yako.
 
Toa sifa zako. Ni vema ukataja na umri wako maana ili muendane kwenye kuchati na kila kitu, umri una matter.
Mkataba wa muda gani?
Kipindi cha majaribio?
 
Mapenzi ya JF magumu sana,unamtongoza mtu anakubali unakula tunda,kesho anakuja na ID mpya ya kwanza anaacha,halafu anaanza kukuchokoza kwa id mpya kujipitisha pitisha,

Ukimtongoza tu atajifanya anakubali halafu sasa anakuja tena na ile ya zamani kama anakujulia hali vile.

Mapenzi bila unafki hayaendi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kho kho kho!
 
Waendee tu pm mkuu kati ya 100 utapata 1...
 
Amuulize smart Nadhani ana uzoefu wa kutosha kwa cc wake... Sorry for reference smart and cc...
 
Yamekukuta ndugu hahahahha.
Hata hivyo siyo kwenye mapenzi tuu Bali Tz bila unafiki haiwezekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…