Aigoo
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 3,124
- 2,819
Mimi kama mwanaume tena mwenye uthubutu kwa mara ya kwanza kabisa ningependa kujitokeza kutafuta new couple ndani ya jf tutakayo match nae vzuri, kigezo ni kimoja tu awe mcheshi asie na jazba mpenda kuchat.
Ijapokuwa mimi si mhenga sana wa jf lkn kwa kipindi ambacho nimekuwepo humu nimekuwa mwanafamilia. Kama mwanafamilia kiukweli nimekuwa na wivu mkubwa sana kwa couple zinazoshamili ndani ya jf nikajitathimini kwan mi nani nisiweze kuwa na couple yangu humu tukakinukisha weeeeh.! na kunogesha mapenz mubashara kabisa kama ile couple iliyotulisha matango pori mchana kweupe tukabaki macho Kodo midomo wazi...! Aisee ila jf raha sana unaweza pelekwa ulaya na kurudishwa bila kujijua. Nataman kuwa mention Kwa majina wale ninaowawish lakini naogopa kupigwa za uso
Karibuni...!